Invigilator
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 3,203
- 5,997
- Thread starter
-
- #101
Haha huwa hana utani na [emoji196][emoji196][emoji196]kabisaaAmewapa za uso kama kawaida yake..[emoji23][emoji23]
Halafu nasikia leo hii amewatakia mchana mwema..!
[emoji196][emoji16][emoji16][emoji16]1
Yanga walimkosea nini Musonye? Au walikuwa na kiburi kwa Cecafa enzi za Manji? Na kama ni hayo mbona muda mrefu umepita? au kuna jingine!
KabisaSafiiiii
Mzee anawakebehi wale waliokula khamsa kule Congo na Misri! Ila kama kweli kasema hivyo atakuwa hana adabu!
Hahaha poleni jamani
Hahaha punguza hasira mkuu..Mpuuzi sana, sasa kama alijua Yanga si lolote kwenye mashindano yake kwa mini aliipa mwaliko, INA maana kwao Kenya alikosa timu za kualika hadi aialike Yanga ambayo haina vigezo. Huyu siku akikanyaga ardhi ya Tz inabidi tumtie adabu kwa mikwenzi ndiyo atajuwa sisi si wa mchezo mchezo akawachezee Kariobangi na sofapaka kwao huko. Nina hasira naye huyu dictator was cecafa
Akafie mbele huko, anaboa sana mkuu. Haya mashindano zamani yalikuwa na hadhi sana, lakini tokea huyu mpuuzi aingie CECAFA yanazidiwa na ndondo cup. Bahati yake angekuwa hapa kwetu tungeisha mtia Lupango maana ni mlafi sana.Hahaha punguza hasira mkuu..
Huyu jamaa anajua hapa east africa derby kubwa ni simba na yanga. Ndo maana msimu wa juzi.kati aliwapanga kundi moja simba sijui wakashtukia! Wakasepa!
Musonye akiondoka cecafa anakufa maskini yule..
Naipongeza yanga,simba kwa kujitoa
HaahhahaTutavuma kama mvua za masika