Magna Carta
JF-Expert Member
- Jul 14, 2014
- 4,347
- 6,652
Mkuu hapana labda atakuwa kakumbuka hii historia[emoji16]View attachment 1122921
Sawa weka na matokeo ya Simba kama haya Tuone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu hapana labda atakuwa kakumbuka hii historia[emoji16]View attachment 1122921
Hahaha matokeo gani Mkuu?.Sawa weka na matokeo ya Simba kama haya Tuone
Mkuu yupo sahihi kwamba "Yanga ni timu ya hovyo"?.ni kweli katibu yupo sahihi
Hahaha Mkuu utapigwa maweMusonye anajua sana
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Musonye apewe Baloon D'or kwa Comment hii
Hapana yeye ni katibu tuHivi Musonye CECAFA ni NGO yake?
Hapana yeye ni katibu tu
Ndio ujiulize mkuu mwisho wa siku anatoka na kauli mbaya kiasi hiki.Kwanini waliwaandikia barua ya mwaliko!? Huyu jamaa atakuwa ana mtindio wa ubongo si bure.
Toka nikiwa mdogo namsikia Musonye akiwa CECAFA.
Ni wa kumpuuza tu na NGO yake CECAFA.Ndio ujiulize mkuu mwisho wa siku anatoka na kauli mbaya kiasi hiki.View attachment 1122957
Wangetuletea aibu bure nchini;Mkuu yupo sahihi kwamba "Yanga ni timu ya hovyo"?.
Hahaha naamini wasingerudia tenaWangetuletea aibu bure nchini;
HakikaNi wa kumpuuza tu na NGO yake CECAFA.
Hao mikia wa 5G ni heshima!?Hahaha naamini wasingerudia tenaView attachment 1122962
HahahahahaHao mikia wa 5G ni heshima!?