MADAM T
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 5,747
- 2,977
Sawa dada kirengased!Njoo nikushughulikie ntakupiga moja tuu majibu utayaleta mwenyewe miezi minne tu hutofika tisa mahamu Tii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa dada kirengased!Njoo nikushughulikie ntakupiga moja tuu majibu utayaleta mwenyewe miezi minne tu hutofika tisa mahamu Tii
ImeishaMlimtoa Dr. Mipango mbiombio kuja kuwaprove watu wrong akiwa mgonjwa tena anakohoa.
Imeshindikana nini kufanya hivyo kwa huyu?
Mwaka juzi wakati amezushiwa ndani ya siku mbili tu alijitokeza na kuwaprove watu wrong, inashindikana nini sasa hivi?
Mnatumia nguvu kubwa sana.
MmhSpeculations by social media and reports by some international media for the past three days have been indicating that the ailing Magufuli had been hospitalised in Nairobi, Kenya, then airlfted to India. But scores of media critics doubted the credibility of the stories for lack of facts and credible sources.
As the Magufuli saga caught fire – particularly on Wednesday and Thursday – there emerged new unconfirmed reports that he had never left Dar es Salaam, and that he was apparently hospitalised at Mzena State Hospital where he has been undergoing treatment since 7th March 2021.
MmhNyie CHADEMA ndio mtuambie kwa ushahid aliko Rais wetu, mmeanzisha propaganda kupitia kwa Lissu akawaambia ntv Kenya na BBC kuwa Rais yupo Kenya. Tupeni ushahidI. BBC wameeleza wamepata taarifa kwa mbelgiji lakin wameshindwa kuthibitisha ukweli. Wamejivua kiaina c mmewalipa lazima wale pesa
Yu wapi Rais wetu kiboko cha Corona na mabeberu tunahitaji majibu
Corona imechapa pale kwenye kibiriti moyo.
Hii convo ilikuwa bomba sanaKwa hiyo jitihada za kumbadilishia zinaendelea?
MmhTunataka Serikali itwambie Rais Magufuli yupo wapi na anahali gani, kwani kwa mujibu wa katiba wananchi tuna haki ya kupata habari rais yupo wapi, kwani ameajiriwa na wananchi kisheria.
Mh. John Mnyika
AiseeWakimjibu jamaa mnitag.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽💃🏾🕺🏽Akijibu baadhi ya maswali hayo mtandaoni, Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania Mwigulu Nchemba amesema kuwa: "Kiongozi wa nchi sio Mzee wa Kanisa kwamba alipangiwa zamu na hakuoneka...Kiongozi wa nchi sio mtangazaji wa TV kwamba alikuwa na kipindi na hakuonekana... sio kiongozi wa jogging club anatakiwa kuwa tu mtaani kila siku..."
LohIt is reported that Magufuli has been on a ventilator for much of this week, and that his family has been kept in the dark about his developments. For the first three days of his illness, attempts were made to treat him at the state house using medics from the Muhimbili National Hospital.
Several ministers who spoke to SAUTI KUBWA until today said they did not have any whereabouts of the president, as they have been consumed in the wind of existing speculations regarding his deteriorating health.
It is understood that TISS was happy on the way the Nairobi version caught the attention of global media. And they are apparently planning to use this single media flop as evidence that all that has been reported and tweeted about Magufuli is false.
Some reports said the president was starting to respond positively to medical treatment, and that should everything go well enough, his aides would organise a simple event in which he would be seen in public, albeit briefly, as a way of dispelling the speculations about his ill health – and to show the people that he was not flown to India.
Asante mkuu na wewe pia