Nandagala One
JF-Expert Member
- Aug 19, 2020
- 1,913
- 2,286
KENGE, POPOMA,...🚴🚴🚴🤣🤣😅🤣😃Namshauri katibu mkuu wa chadema ndugu john mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu ,kwa sababu Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana lissu na heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi ,tubaki na wagombea wawili tu
huoni trends mpaka kwa jamaa zake wa karibu?Hajashindwa kati
zitoke wapi wakati chama kinatoa somo kwa ccm na wengine wajifunze namna ya kufanya michakato ya uchaguziFujo zipo na vikao vya sirini ni vingi
itabidi polisi wa kutosha wamwagwe na yale magari yao ya upupu yawepo japo hakutakuwa na fujoPolisi wapo watalinda amani mfanye uchaguzi wenu kwa amani msitoane ngeu
Jeshi la polisi lipo Ondoa shaka.Hakuna haja ya kuahirisha
Bowe ahamie CCM.. akagombee hukoNa kwa Lissu mmekutana na kisiki, hajawahi kushindwa jambo lake na hakubali uonevu.
Liwalo na liwe. Hao watu watatu, Lissu, Lema na Heche waenguliweugombea na wafukuzwe uanachama mara moja. Maelezo ya Lema yamethibitisha mipango yao ya usaliti baada ya kugundua katika front line mpya iliyokuwa ikiandaliwa na chama, wao hawakuwemo. Msigwa alijondoa mwenyewe. Hawa watatu wakaamua kufanya mapinduzi kwa njia chafu tunazozishuhudiaNamshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu, kwa sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana Lissu na Heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi, tubaki na wagombea wawili tu