Katibu Mkuu CHADEMA tafadhali ahirisha uchaguzi mkuu mpaka hapo baadae kwakuwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani

Katibu Mkuu CHADEMA tafadhali ahirisha uchaguzi mkuu mpaka hapo baadae kwakuwa kuna viashiria vya uvunjifu wa amani

Namshauri katibu mkuu wa chadema ndugu john mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu ,kwa sababu Kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana lissu na heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi ,tubaki na wagombea wawili tu
KENGE, POPOMA,...🚴🚴🚴🤣🤣😅🤣😃
 
"NYIE FANYENI UCHAGUZI WENU SISI TUPO KUWALINDA. MRADI UWE WA KIDEMOKRASIA"

...alisikika mzee mmoja wa kampuni ya ulinzi ya MARANYA MANYANDA SECURITY GUARD!!







Disclaimer: Just A Chit Chat!!
 
Polisi wapo watalinda amani mfanye uchaguzi wenu kwa amani msitoane ngeu
Jeshi la polisi lipo Ondoa shaka.Hakuna haja ya kuahirisha
itabidi polisi wa kutosha wamwagwe na yale magari yao ya upupu yawepo japo hakutakuwa na fujo
 
Unatoa ushauri kwa kuwa unaona dhahiri mbowe ameshindwa kabla ya kura kupigwa. Ungeshauri mbowe ajitoe badala ya kuahirisha uchaguzi. Ushauri wa kilevi huu
Sijachelewa sasa hivi tu barua rasmi itatoka
 
Namshauri Katibu Mkuu wa CHADEMA ndugu John Mnyika aahirishe kwanza uchaguzi mkuu, kwa sababu kuna viashiria vya uvunjifu wa amani au ikiwezekana Lissu na Heche wawekewe pingamizi la kisheria kwa kauli zao wamevunja kanuni za uchaguzi, tubaki na wagombea wawili tu
Liwalo na liwe. Hao watu watatu, Lissu, Lema na Heche waenguliweugombea na wafukuzwe uanachama mara moja. Maelezo ya Lema yamethibitisha mipango yao ya usaliti baada ya kugundua katika front line mpya iliyokuwa ikiandaliwa na chama, wao hawakuwemo. Msigwa alijondoa mwenyewe. Hawa watatu wakaamua kufanya mapinduzi kwa njia chafu tunazozishuhudia
 
Back
Top Bottom