Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Kattanga yupo wapi?

Nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi sio ya kisiasa . KMK anaweza akawa anatekeleza majukumu yake kimyakimya bila kulazimika kujitokeza hadharani

Hapo nyuma uliingizwa usanii kwenye utumishi wa uma. Waziri alikua anafanya kazi za katibu mkuu, katibu mkuu anafanya kazi za mkurugenzi wa idara. Mkuu wa idara atafanya kazi za maofisa wa kawaida kama makarani au hata wahudumu ili mradi kila mtu alikua anakwenda mbio kupata publicity ya kuonekana anafanya kazi na hivyo ajipendekeze kwa mamlaka ya uteuzi na utenguzi

Watu waliacha kufanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za majukumu yao wakawa wanapigana vikumbo kuuza sura kwenye runinga. Maranyingi wakifokea wasaidizi wao, wakitoa matamko hata ya kuwasimamisha kazi(huku kiuhalisia hawana uwezo huo) na pengine kuwananga na kuwafokea wananchi

Matokeo yake wananchi tumehaidaika na kuona mtumishi wa umma anayejitokeza hadharani kwenye vyombo habari ndio mchapa kazi.

Hata hivyo yawezekana mleta uzi kweli amemkumbuka katibu mkuu kiongozi. Nilikua najaribu kupanua mjadala tu
Ova,

Siyo mmuza dura Kama kina Bashiru na waliopita.
 
Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mh Kusiruka

Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
Watu wengine kweli wazushi! Uliambiwa ukiwa katibu mkuu kiongozi huruhusiwi kusafiri au kwenda likizo?
 
Dogo hujui kitu. Acha wanaojua waseme.
 
Yuko Japan, kaenda kukabidhi ofisi na kuhama officially, kumbuka uteuzi ulimkuta yuko bongo......
Uteuzi ulimkuta Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, akisubiri muda wa kukwea Pipa kurudi Ofisini kwake Japan.
Badala ya kukwea Pipa LA kwenda Japan, akaambiwa akakwee Pipa la kwenda Dodoma.
Kesho yake aliapishwa kuwa KMK na alieleza kuwa Uteuzi wake aliuona kwenye Runinga, Uwanja wa Ndege Dar es Salaam.
Kufunga mizigo kutoka Japan kurudi Tanzania, tena baada ya shughuli ya kukabidhi Ofisi kwa Balozi Mpya, inahitaji muda wa kutosha.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mh Kusiruka

Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
Watu hamna jicho la tatu kbisa ..
Hivi ukimuangalia vizuri mh.kattanga mkazie jicho vizuri nini unaona..
Muangalieni vizuri yule mtu alaf muache kuuliza yupo wapi kila mara.
 
Nasikia huyo aliyeachiwa ku-act ni kigagula ile mbaya! Sasa tutaujua mwisho wake maana staili boss akifa anayefuata anarithi!
 
Zamani kumuona achilia mbali kumjua Mkuu was Usalama was Taifa ilikuwa no shinda....baadaye akaju Mtawala.Mungu Mkurugenzi TISS akawa Kama Mwenyekiyi was TLP
Nafasi ya Katibu Mkuu Kiongozi sio ya kisiasa . KMK anaweza akawa anatekeleza majukumu yake kimyakimya bila kulazimika kujitokeza hadharani

Hapo nyuma uliingizwa usanii kwenye utumishi wa uma. Waziri alikua anafanya kazi za katibu mkuu, katibu mkuu anafanya kazi za mkurugenzi wa idara. Mkuu wa idara atafanya kazi za maofisa wa kawaida kama makarani au hata wahudumu ili mradi kila mtu alikua anakwenda mbio kupata publicity ya kuonekana anafanya kazi na hivyo ajipendekeze kwa mamlaka ya uteuzi na utenguzi

Watu waliacha kufanya kazi kwa kufuata sheria, kanuni na taratibu za majukumu yao wakawa wanapigana vikumbo kuuza sura kwenye runinga. Maranyingi wakifokea wasaidizi wao, wakitoa matamko hata ya kuwasimamisha kazi(huku kiuhalisia hawana uwezo huo) na pengine kuwananga na kuwafokea wananchi

Matokeo yake wananchi tumehaidaika na kuona mtumishi wa umma anayejitokeza hadharani kwenye vyombo habari ndio mchapa kazi.

Hata hivyo yawezekana mleta uzi kweli amemkumbuka katibu mkuu kiongozi. Nilikua najaribu kupanua mjadala tu
 
Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mh Kusiruka

Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
Korona
 
Watu hamna jicho la tatu kbisa ..
Hivi ukimuangalia vizuri mh.kattanga mkazie jicho vizuri nini unaona..
Muangalieni vizuri yule mtu alaf muache kuuliza yupo wapi kila mara.
Umezidi kutuachia maswali zaidi ya majibu, tutamwangaliaje na hatumuoni maana katoweka ghafla 🙄🙄
 
Uteuzi ulimkuta Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere, akisubiri muda wa kukwea Pipa kurudi Ofisini kwake Japan.
Badala ya kukwea Pipa LA kwenda Japan, akaambiwa akakwee Pipa la kwenda Dodoma.
Kesho yake aliapishwa kuwa KMK na alieleza kuwa Uteuzi wake aliuona kwenye Runinga, Uwanja wa Ndege Dar es Salaam.
Kufunga mizigo kutoka Japan kurudi Tanzania, tena baada ya shughuli ya kukabidhi Ofisi kwa Balozi Mpya, inahitaji muda wa kutosha.
Katibu Mkuu Kiongozi arudi kufunga mizigo Japan kwa wiki zaidi ya 3? Aahha mjomba za kuambiwa changanya na zako
 
Watu wengine kweli wazushi! Uliambiwa ukiwa katibu mkuu kiongozi huruhusiwi kusafiri au kwenda likizo?
🙄🙄🙄🙄Wiki tatu unafunga mizigo tu halafu Katibu Mkuu Kiongozi.
 
Likizo ya mwaka ya mtumishi wa serikali ni siku 28, halafu hakuna ukomo wa kufunga mizigo na wala hujaambiwa anafunga mizigo!
 
Uncle Magu hatunaye, wapika majungu waliomchukia wamemute kwenye mambo mengi tofauti na walivyokuwa.

Ingekuwa kipindi chake JF kama kawa ingejaa threads zaidi ya 10 zinazungumzia yaliyojiri kwa huyo kiongozi kwa kushambuliwa na corona!
 
Yote unayosema ni sawa lakini kwa nini kila kwenye kuapishwa viongozi nafasi yake inakaimiwa na Bwana Kusiruka, toka anaapisha Wakuu wa mikoa hakuwepo na leo imepita zaidi ya wiki mbili hajaonekana tena, lazima Kuna shida sehemu si bure
Itakuwa kuna ttz mahali Fulani.
 
Leo ni mara ya pili katika kipindi cha karibu wiki ya tatu sasa Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Kattanga hajaonekana hadharani na nafasi yake imekuwa ikikaimiwa na Mh Kusiruka

Yeyote mwenye taarifa za huyu Mheshimiwa tafadhari tunaomba atudokeze.
simjui huyu mtu ila naona ni design ya wale wapwani wapenda mafanikio bila jasho. ni rahisi kua confortable na upigaji. ila namfananisha tu na tabia za wapenda upigaji. mungu nisamehe kama sio hivyo.
 
Back
Top Bottom