TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Tumeambiwa na nani?
Uongo mtupu.
Ndio wenzenu wanavyozitumia chanjo awaangaiki na kumchanja kila mtu, kwanza vijana wengi wakipata serikali zao azitaki hata kujua mbinu zao za kujitibu na wala hospitali zao aziangaiki nao.

Kasheshe umri kama umeenda halafu ikukute, sasa kama mnaona wanao angaika kuwachanja 55+ only kwenye harakati za kuwalinda watu wazima ni wapuuzi; endeleeni na ujuaji.

Wenzenu wakishamaliza kuwachanja hao wazee maisha yanaendelea kwa waliobaki waambukizane vizuri.
 
Kujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.
Wewe dada unabwabwaja sana,hivi mtu utaepukaje social distance wakati lazime uende kazini.
 
Hivi kwanini Corona inawakwepa akina Ndugai, akina Kabudi, akina Sirro na kuchukua watu wema?
 
Kifo cha kawaida sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…