Serikali yetu ifanye mazungumzo ya haraka na Serikali ya Uchina watuletee Chanjo fasta - hachana na chanjo za Pfizer nawenzake, hao ndio wametuletea viriant ya pili ambayo inaonekana ni more virulent - hachana na jamaa hawa hawafai, angalio waliko peleka majaribio ya chanjo zao wakishirikiana na chanjo za Oxford, majaribio ya chanjo barani Afrika ilikuwa ni Kenya, Afrika kusini na Nigeria Mataifa na Brazil, mataifa yote tajwa hapo juu ndiko variant ya kovid imehibukia - kwa nini Serikali zenu za Kiafrika na Latin Amerika hazijiulizi ni kwa nini? Tuchukuwe chanjo kutoka Uchina na Urusi, sio za hawa wenye ajenda zao za siri.