Mungu anatufuta machozi mdogo mdogo. RIP maalim, Rest in hell........!!Kenge hasikii hadi apasuke masikio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu anatufuta machozi mdogo mdogo. RIP maalim, Rest in hell........!!Kenge hasikii hadi apasuke masikio
Wana chanjo eti. Utasubiri sana.Halafu Kijazi muda mwingi yupo na MEKO kwenye uapizaji.
Wezi wa kura na wauwaji wote hawatabaki mpaka april 2021 corona itajibu.Kumekucha!!! Hatimae mdudu ametia timu kwenye ofisi ya Mh Rais rasmi!!!
Kocha Magu ajipange apangike kweli kweli, mpaka ikifikia mwezi wa 4 hivi, atakua ameshapoteza "BENCHI LAKE LOTE LA UFUNDI MPAKA SUB ZOTE" kutokana na ule ugonjwa wa kishetani aliosema haupo Tanzania.
Itakua yeye "ANAFANYA UTEUZI" na Sir God nae "ANAFUTA UTEUZI". Kasheshe, Tutaongea lugha moja mwaka huu walai!!!
Mtu unalala huku una mawazo kilo 7 kichwani, mawazo ya kesho sijui utaamshwa na taarifa gani. Ukisikia simu inaita asubuhi asubuhi PRESHA INAPANDA kabla hata ya kupokea, roho ipo juu juu huna amani masaa yote. Ukiingia JF unakuta thread tatu tatu za misiba hujui uanze kutoa pole thread ipi!!!
Acha watoto wasome, hii kitu haigusi watoto kabisaKuanzia kesho wanangu hamna kwenda shule. Elimu inatafutwa. Uhai hautafutwi.
Hata mimi nashangaa mbona baba hujamtaja?Hivi kwanini Corona inawakwepa akina Ndugai, akina Kabudi, akina Sirro na kuchukua watu wema?
Mimi mwenyewe mwili ulipigwa ganzi. Very sad kupoteza mtu asiye na hatia.Aliyeniuma nia Maalim Seif tu hawa wengine R.I.P
Tangu nione taarifa za vifo hakuna mtu ameniuma kama Maalim Sharifu
Chanjo inafanya kazi kama huna ugonjwa, ukishakua nao haifanyi kazi
Unajidanganya.Acha watoto wasome, hii kitu haigusi watoto kabisa
Huo ndio wakati wa godmark funeral director Tanzania kupiga kazi .MUANZE KUANDIKA URITHI MAPEMA SASA
NAONA WAUZA MAGARI WAUZZA SPARE WAKIFUNGUA KAMPUNI ZA KUBEBEA GARI ZA MSIBA
SIKU ZA MWISHO ZIMEKARIBIA
WALE WALIOWAKE WATABAKI NA KUSU IRI KUNYAKULIWA
WALE WALIOKUFA WATAFUFUKA NA KUPOKEA MIILI MIPYA...
RIP BALOZI WETU
MAKANISA NA ..KUJAZANA NA WATU
FEB-MAY TUOMBE SANAA WAPENDWA TUOMBE SANA SANA SANA SANA
WATUMISHI WA MUNGU MSSISHIE KUSEMA TU OMBENI KWA AJILI YA NCHIYETU
Kwahiyo Baba kapewa vaccine fake?? Mbona mnyikulu ametangia hajupewa chanjo nini?Bado inafanya kazi, kwa asilimia kubwa tu Pfizer 95% kuokoa maisha yako, dalili ndogo tu, hujitaji kwenda hospitali. AstraZeneca 62%.
Russian,Chinese, Cuban we don't have enough sample, uwazi, ukweli, enough testing to make any conclusion.
Natamani kuunga hoja yako lakini imejaa shutuma na kutia hofu badala ya kuhamasishana kutii maekekezo ya kujinkinga pasipo shurti.Kumekucha!!! Hatimae mdudu ametia timu kwenye ofisi ya Mh Rais rasmi!!!
Kocha Magu ajipange apangike kweli kweli, mpaka ikifikia mwezi wa 4 hivi, atakua ameshapoteza "BENCHI LAKE LOTE LA UFUNDI MPAKA SUB ZOTE" kutokana na ule ugonjwa wa kishetani aliosema haupo Tanzania.
Itakua yeye "ANAFANYA UTEUZI" na Sir God nae "ANAFUTA UTEUZI". Kasheshe, Tutaongea lugha moja mwaka huu walai!!!
Mtu unalala huku una mawazo kilo 7 kichwani, mawazo ya kesho sijui utaamshwa na taarifa gani. Ukisikia simu inaita asubuhi asubuhi PRESHA INAPANDA kabla hata ya kupokea, roho ipo juu juu huna amani masaa yote. Ukiingia JF unakuta thread tatu tatu za misiba hujui uanze kutoa pole thread ipi!!!
Hahahaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣💔💔💔💔💔💔
Balozi John William Kijazi lala salama baba
Inaumaaaaa
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Tuendelee kuchukua tahadhari huku tukiomba sana Mungu
Pole Tanzania yangu 💔🙏
Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.
Yoda ungekuwa china si ungejikojorea kabisa wewe.Unazungumza kama mganga wa kienyeji
Imekula kichwa. Na bado. Walikuwa wanatamba midomo wazi ngoja iwafyeke.Natamani kuunga hoja yako lakini imejaa shutuma na kutia hofu badala ya kuhamasishana kutii maekekezo ya kujinkinga pasipo shurti.
Pia kudhani Marehemu (RIP) amaondoka kwa ugonjwa huo ni dhana potofu.
Hatua sahihi za kiafya ni kinga badala ya tiba.