Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
#mpakaafenani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣unamuuliza nani? R.I. P maalim.Kwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Acheni mambo ya ajabu! Eboo
Heheeee mzee mimacho tashwishwi??Kwani ule mzigo wa Madagascar haufanyi kazi? Kama ni hivyo, basi tusibiri tangazo la prominent figure mmoja kuwa ameaga mashindano.
tunataka awe serious na Corona Kama anavyokuaga serious na swala la KodiKujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.
Nimewaza mbali ndio maana nimemkumbuka waziri wa uchina.....Naona walichelewa sana. Ilikuwa haijaanza kufnya kazi. Huko Idodomy presha inapanda presha inashuka. Na walivyokuwa wanapumuliana sijui itakuwaje
NgomaUkiachana na tatizo la upumuaji kingine kinacho wapeleka watu hawa ni nini
Kwahiyo Baba kapewa vaccine fake?? Mbona mnyikulu ametangia hajupewa chanjo nini?
Halizuiwi na mabundukiAlafu hii kitu utaizuiaje maana hata uweke ulinzi
Anapenyaa
Ova
Tumkaribie Mungu zaidi! Naomba Mungu azidi kuilinda nchi yetu Tanzania na watu wake, ktk jina lipitalo majina yote, Yesu Kristo, amen!
Hizi habari umezitoa wapi?Serikali yetu ifanye mazungumzo ya haraka na Serikali ya Uchina watuletee Chanjo fasta - hachana na chanjo za Pfizer nawenzake, hao ndio wametuletea viriant ya pili ambayo inaonekana ni more virulent - hachana na jamaa hawa hawafai, angalio waliko peleka majaribio ya chanjo zao wakishirikiana na chanjo za Oxford, majaribio ya chanjo barani Afrika ilikuwa ni Kenya, Afrika kusini na Nigeria Mataifa na Brazil, mataifa yote tajwa hapo juu ndiko variant ya kovid imehibukia - kwa nini Serikali zenu za Kiafrika na Latin Amerika hazijiulizi ni kwa nini? Tuchukuwe chanjo kutoka Uchina na Urusi, sio za hawa wenye ajenda zao za siri.
sababu alishakuaga kichaaUnadhani kwanini alijiita mwendawazimu?
[emoji23][emoji23][emoji23]aiseeSema haya makombora bado hayajarenga tageti kuna mtu yana mzoom, naona kama deportivo la koronya soon lit at u to a kwenye utumwa wa mwamba mmoja hivi
Naona comments nyingi humu ni ushabiki na bendera fuata upepo.
1. Wote tunakumbuka jinsi mwaka Jana tulivyo pambana pamoja tulishinda
2. Rais kwa kinywa chake kesha sema tuchukue tahadhari zote, hata wizara ya afya imetoa muongozo, kosa la serikali liko wapi
3. Tukumbuke hii ni new variant, je nani kaleta? Is it only for Africa?
Hebu tuchukue tahadhari tukiwa tunajiuliza maswali.
Hata huko kwenye chanjo bado wanakufa in large numbers
Tuache kulaumu Rais bana. Huo ni ushamba
Especially in Dodoma.Aisee nikiangalia idadi ya misiba nnayokutana nayo wiki mbili hizi
siyo hali ya kawaida
Something is not right somewhere
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Kenge hasikii hadi apasuke masikio
Hamna kitu kama hichokuna taarifa ya Dr Bilali pia ametutoka
Duh!Naye katwaliwa!!kuna taarifa ya Dr Bilali pia ametutoka
Lete ushahidiHamna kitu kama hicho