TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Tuendelee kupiga nyungu [emoji23]

Awali ya kwanza ni kufuata maelekezo ya wataalamu na siyo wanasiasa, tufuate maelekezo ya Dr Fauci( daktari Mkuu wa Serikali) vaa barakoa, nawa mikono kila wakati, kaa mbali umbali wa mita mbili (social distancing) kwani Tanzania siyo Kisiwa! If you cannot trust God with your medicine you cannot trust God with your prayer since God is of nature!! Doctors treat God Heals!
 
Jane Lowassa unanifahamu siku zote nimekuwa upande wa Magufuli si ndio? Katika hili swala Sina kabisa hizo nguvu. CORONA is no longer a doubtful story.

Rais kama kiongozi anapaswa kukubali makosa yake, abadili msimamo wake Ili kuokoa waliobaki. Nafikiri huo ndo uongozi.
Mwache ashupaze shingo. Kwake yeye Corona ni chadema
 
Hilo ndiyo jina langu Asilia nalitumia mda wote hata hapa South pole watanzania wote wanalijua hili jina waulize watakuambia

Poa, kwenye ishu ya Kijazi, nashauri wengine wapewe hizo dozi.

Nishachukua mbili, kila wiki napimwa mara mbili. Hawajaona sideffect yoyote.

Sasa hivi vitu vinategemea afya, umri, diet yako.
 
No, Tatizo Virus ni mjanja sana. Ukitaka kumuua anajibarisha.

Sio kama bacteria.

Pia magonjwa ya Virus ni magumu inachukua muda mwingi sana kupata kinga ya uhakika. HIV, Cold, Ebola, Spanish Flu, Sars - Cov, Dengue, Smallpox Corona viruses bado wapo. Wanapeta. They mutate (wanabadilika) all the time.

Kumkabili Virus yoyote zaidi ni kuchukua tahadhari, kula vizuri, kujilinda nk. Corona inaweza kuendelea zaidi ya miaka mitano.


Uzuri pia miili inatusaidia kupata naturally imunity.

Zile antibodies ni wanawajeshi, walinzi wetu wanatulinda wakiwasoma hawatusumbua sana kivile.

Maisha yaendelee kwa tahadhari kama kawaida, kwa tahadhari zote.
One of the realistic comment ever..no picking sides just facts..congrats my braza

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwenye taarifa za ukweli watu wameacha kufa??? .....USA, ITALY,UK, SPAIN......nk. wanakufa tu.
Mf unajua process y kwanza kuokoa maisha ya wa2.. sas kama hujui ngoja tukuelekeze..process za kisayansi zinaenda na kitu kinaitwa rate..hujui rate soma hapa..rate ni kiwango flani gawanya kwa muda meaning labda useme uchukue maji yanayomwagika sa 1 kupata rate ya umwagikaji maji ni ujazo wa maji yanayomwagika ndani ya hilo lisaa kwasababu ukigawa kwa sa 1 utabakia na ile namba..kwahiyo kilichofanyika ni kupunguza kwanza rate..kama we mwenyewe unakumbuka mwanzo ugonjwa unafika watu walikuwa wanapata maambukizi kwa kiwango kikubwa sana..sas wenzio wanakadiria kama kwa saa1 inatokea hivi je kwa miaka mitano..nd wanaleta sasa measures za kupunguza rate maan hyo rate inaweza kujiongeza kila passing time ko kama itapungua hyo ni achievement kweny sayansi na nd maan sio wavivu kurekodi data ili wacheze na rate na jinsi ya kujicontrol..tatizo lenu wabongo mmezoea uganga mtu akisema galagalaaaa toka ujikute ushapona nd kinachowaponza...sas we kwa mawazo yako sisi na hao jmaa nani yuko closer zaid na udhibiti wa janga?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.
😀😀😀😀....nyungu Tena jaman!!!!! Ama kweli ujinga Ni aghali Sana.
 
1613611873294.png
 
Huyu ndugu mambo yake huwa anayafahamu mwenyewe.
 
RIP Katibu Mkuu kiongozi Mzee Kijazi.

Turudi na kusikiliza sauti ya Mungu inataka kutuambia kuwa, kama Mungu ametupatia ubongo sisi binadamu basi ktk kukabiliana na gonjwa hili tumepotea njia hivyo turudi na tujisahihishe na kutumia elimu, maarifa na ujuzi aliotupatia ili tuweze kushinda janga hili.

Paschal Cassian anatukumbusha ktk wimbo 'Turudi' tunapoona misiba imetawala kwetu

 
Back
Top Bottom