Tuendelee kupiga nyungu [emoji23]
Mwache ashupaze shingo. Kwake yeye Corona ni chademaJane Lowassa unanifahamu siku zote nimekuwa upande wa Magufuli si ndio? Katika hili swala Sina kabisa hizo nguvu. CORONA is no longer a doubtful story.
Rais kama kiongozi anapaswa kukubali makosa yake, abadili msimamo wake Ili kuokoa waliobaki. Nafikiri huo ndo uongozi.
Hilo ndiyo jina langu Asilia nalitumia mda wote hata hapa South pole watanzania wote wanalijua hili jina waulize watakuambia
One of the realistic comment ever..no picking sides just facts..congrats my brazaNo, Tatizo Virus ni mjanja sana. Ukitaka kumuua anajibarisha.
Sio kama bacteria.
Pia magonjwa ya Virus ni magumu inachukua muda mwingi sana kupata kinga ya uhakika. HIV, Cold, Ebola, Spanish Flu, Sars - Cov, Dengue, Smallpox Corona viruses bado wapo. Wanapeta. They mutate (wanabadilika) all the time.
Kumkabili Virus yoyote zaidi ni kuchukua tahadhari, kula vizuri, kujilinda nk. Corona inaweza kuendelea zaidi ya miaka mitano.
Uzuri pia miili inatusaidia kupata naturally imunity.
Zile antibodies ni wanawajeshi, walinzi wetu wanatulinda wakiwasoma hawatusumbua sana kivile.
Maisha yaendelee kwa tahadhari kama kawaida, kwa tahadhari zote.
Nimesikitika sana huyu Mzee kufariki, Mwenyezi Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amina.
Hatuna Viongozi, tuna Watawala Wajinga kichwani....[emoji41]Jamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
One of great thinkers. Most of times tunaambulia matusi.One of the realistic comment ever..no picking sides just facts..congrats my braza
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Mf unajua process y kwanza kuokoa maisha ya wa2.. sas kama hujui ngoja tukuelekeze..process za kisayansi zinaenda na kitu kinaitwa rate..hujui rate soma hapa..rate ni kiwango flani gawanya kwa muda meaning labda useme uchukue maji yanayomwagika sa 1 kupata rate ya umwagikaji maji ni ujazo wa maji yanayomwagika ndani ya hilo lisaa kwasababu ukigawa kwa sa 1 utabakia na ile namba..kwahiyo kilichofanyika ni kupunguza kwanza rate..kama we mwenyewe unakumbuka mwanzo ugonjwa unafika watu walikuwa wanapata maambukizi kwa kiwango kikubwa sana..sas wenzio wanakadiria kama kwa saa1 inatokea hivi je kwa miaka mitano..nd wanaleta sasa measures za kupunguza rate maan hyo rate inaweza kujiongeza kila passing time ko kama itapungua hyo ni achievement kweny sayansi na nd maan sio wavivu kurekodi data ili wacheze na rate na jinsi ya kujicontrol..tatizo lenu wabongo mmezoea uganga mtu akisema galagalaaaa toka ujikute ushapona nd kinachowaponza...sas we kwa mawazo yako sisi na hao jmaa nani yuko closer zaid na udhibiti wa janga?Kwenye taarifa za ukweli watu wameacha kufa??? .....USA, ITALY,UK, SPAIN......nk. wanakufa tu.
MaombiJamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.
ππππ....nyungu Tena jaman!!!!! Ama kweli ujinga Ni aghali Sana.tunatakiwa kupambana sio kulalamika.tatizo watz wanapenda short Kati,na mizalau kibao,mkiambiwa jifukizeni mnadharau,mbona mwanzo watu waliitikia kujifukiza kwa kiasi kikubwa na matokeo yakawa mazuri!?? Tatizo ni midharau yenu!!!!! Sasa endeleeni na mizalau yenu,walevu wanapiga nyungu na wanadunda.wajuaji na muendelee na ujuaji.
Hii methali ya Kiswahili haijawahi kuwa na maana kubwa kama hizi siku za serikali kuficha uwepo wa Covid-19.Mficha malazi kifo humuumbua, nasema uongo ndugu zangu?
Akili zimeanza kuwarudia sasa, hilo neno la serikali hata likija now itakuwa too late, mdudu yuko mtaani tunapishana nae.Hali ni mbaya.
Serikali iseme neno
Mungu tunusuru[emoji24]
Unajifanya hamjuiJamani, Jamani sina la kusema. Nchi ya Tanzania tumekosa nini?.