Mmh aiseeee basi serekali iseme watu wachukue tahadhariHalafu Kijazi muda mwingi yupo na MEKO kwenye uapizaji.
Kuchukua tahadhari ndiyo kukoje!!??Mmh aiseeee basi serekali iseme watu wachukue tahadhari
Tahadhari tu na sio kingine
Duh Sahiv hali ishakuwa mbaya kwa kweli
Aisee yani hadi sasa bado mnasubiri serikali iseme mchukue tahadhari?Mmh aiseeee basi serekali iseme watu wachukue tahadhari
Tahadhari tu na sio kingine