TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Sina cha kuandika zaidi ya kusema Tz hakuna Corona....but nadhan ngoma inakita mdundo ambao huwezi sikia sauti ya wimbo.
Ila hali ni tete kweli.

Wanaokufa viongozi wa huko juu ni dalili tosha kua huku chini hali ni mbaya sana
 
Naona dubwasha limeanza kuchanganya sasa hii hataree
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chibolo....sio chizunga mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].wakati mwngine tufurah..anyway piga nyungu 3times/day
 
Back
Top Bottom