TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mmh aiseeee basi serekali iseme watu wachukue tahadhari

Tahadhari tu na sio kingine
Ww unaona watu wanakufa, kuna msemo wenye nguvu zaidi ya kujionea kifo kwa vitendo? Chukua tahadhari usisubiri matamko.
 
Ila kiukweli Hali ni mbaya ndani ya siku moja wanakufa watu zaidi ya watano maarufu na wakiwemo viongozi wa ngazi za juu kabisa, Hali huko mtaani ikoje kwa wale wasiojulikana?

Wanajamii tuchukue tahadhari wenyewe bila kusubiri tamko la kiongozi .

Hasara inapata familia zetu na sio meko jamani, tupunguze misongamano isiyo ya lazima
 
Kuna mtaalamu wa saikolojia aliniambia uchungu mkubwa duniani ni kufiwa na mtoto uliyemzaa...sasa namba moja kazika watoto wawili hana uchungu wa mtu mwingine kufa..afungwe pingu la sivyo tutakufa wote
 
Somo litaeleweka tu.

Mnapiga propaganda yeye anakula vichwa kimyakimya.

Tukiendelea hivihivi bila shaka kufikia sensa ya 2022 effects zake zitaonekana hadi kwenye takwimu.
 
Back
Top Bottom