TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Itaeleweka tu.... ni wakati sasa wa kuchukulia serious.........
 
Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.
 
Back
Top Bottom