TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Nadhani ni wakati muafaka wa kuanza kutafuta contacts za Pfizer na kuwafuatilia kwa karibu zaidi....
 
Naona inapiga hodi kwenyewe. This is a wake up call. Kubali kwamba corona ipo. Kubali chanjo. Achana na state ofself-denial. Moment of truth has come

Hali inatisha sana sana, kusema kweli - lililopo Serikali yetu ifanye mazungumzo na Serikali ya Uchina watupatie chanjo haraka - trend ya vifo ni very alarming - China imefanikiwa kuudhibiti nchini mwao kwa kiwango kikubwa kuliko mataifa ya Ulaya na Merikani - ina maana Wachina kuna kitu cha zaida wanakijua kuhusu jinsi ya kudhibiti ugonjwa huu - tukiwa wakweli tutasaidiwa kuliko nguvu inayowekwa kujaribu kuonyesha Dunia kwamba Ugonjwa huu kwaTanzania umebakini historia kama sio homa kali ya mapafu -kumbe?

Ruhusini wananchi wanao taka kupima na kujua status zao za afya kuhusu gonjwa hili waache wajipime na kuchukua hatua mapema, tuige mifano ya Rwanda, Kenya na Uganda, hayo ni maoni yangu, narudia tuwalilie hali Wachina watuletee chanjo kama walivyo wapelekea chanjo Mataifa ya America kusini Asia nk, sioni dalili za kutunusuru kama Taifa kama hatutapatiwa chanjo haraka.

Utabiri wa Bill Gates na mkewe ndio naona unaanza kutekelezeka kwa taratibu - mwaka jana hali haikuwa mbaya kivile lakini safari hii - no, kuna tatizo si bure kama ni plan "B" yao, basi, Mungu atunusuru hatuna jinsi.
 
R I P. Naona hit after hit...

Nna mwanangu wa miaka 12 just now alikua ananiambia 'mama mie naona kama ntakufa mwaka huu. Maana naona mwaka huu watu wengi wanakufa' Mola atupe umri wa kheri.
ondoa hofu, hiyo ndio dawa yake
 
Back
Top Bottom