TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Jamana huu ugonjwa ni hatari kwa wale walioupata na kupona wanaelewa hii kitu, Ee Mungu baba tunusuru.
 
Unataka mpaka serikali ikwambie.!!?? Acha utahira hiyo elimu uliyo nayo inakusaidia nn hasa?
Waweke wazi tu vifo vinavyotokea
Raia watastuka wengi wanapuuzia
Kumbka kuna viongozi wengine wakihojiwa
Wanakuambia mgeni hayupo
Watu wakisikia hivyo wanakula bata kama kawaida

Ova
 
Ukiachana na tatizo la upumuaji kingine kinacho wapeleka watu hawa ni nini
 
Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.

..ile post yako kuhusu Jpm anavyoshughulikia corona iko wapi? unaweza kuipandisha tena?
 
Kwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Acheni mambo ya ajabu! Eboo
 
Pole Rais Magufuli na familia yote ya Kijazi. Tetesi za Kijazi na Dr. Mpango kuwa wanaugua Covid-19 zimekuwepo kwa siku kadhaa sasa; Ina maana corona imeingia Ikulu. Rais Magufuli anahitaji kuangalia mkakati wake kwani coronavirus haina heshima na haitakoma hadi idhibitiwe kisayansi.
Ikiondoka na huyo covid denial hakika itapendeza.
 
Hapo ime-hit home. Apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom