Supu ya kokoto
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,194
- 7,602
Mkuu umetisha yaani wote tumeR.I.P umebaki wewe tu
Mmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
Nini siri ya vifo hivi.Huyu baba katutokaView attachment 1704992View attachment 1704993
Hatuombei lkn tusipokuwa makini tutavuta kama inziii !Sasa hivi hii kitu inapiga huko juu juu kwanza.
Hakika,hili toleo jipya halisikii hata chanjo yetu ya covidol.Duh sasa hivi hali ishakuwa mbaya kwa kweli
Ndio maana yake usiku wa leo Mh. Magufuli atalia sana sidhani kama atalala usiku wa leo..Huyu mtu ni wa Ikulu kwa hiyo tayari imeingia Ikulu imeanza kazi
Huyu baba katutokaView attachment 1704992View attachment 1704993
Kuchukua tahadhari hadi uambiwe na serikali? Are u serious?Mmh aiseeee basi serekali iseme watu wachukue tahadhari
Tahadhari tu na sio kingine
Tuendelee kujifukiza
Nchi ipo kwenye crisis, handling ya Corona inatupeleka pabaya mno.