TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Unasubiri Serikali ikuambie Usinywe Sumu utakufa? be a Man, Maisha yako yathamini wewe mwenyewe kabla ya Serikali
Nyie mbweha mnaakili kweli? Watu wakichukua tahadhari wanakatazwa rejea kilichotokea kule moshi watu kuvuliwa barakoa na wenye mamlaka, yule prof wa out alitoa tahadhali wenzie wakampiga vita
 
Hali ni tete huu sio wakati wa conspiracy theories ni wakati wa kuwa realistic na kuchukua hatua thabiti ama sivyo nchi itasimama!
Na kiongozi wa nchi anatakiwa aamke na kutoa tasrifa kwa Watanzania. With right measures. Sio hao waigizaji wake kuji selfee na glasi za miti shamba na nyungu.
 
Nitakuwa wa mwisho Kuamini kuwa Namba Moja ( Baba ) na Namba Mbili ( Mama ) wako salama kama huyu Mtendaji wao Mkuu wa karibu Kafyekwa ( Kapukutika ) nao.

Binafsi naanza sasa Kujiandaa kwa Habari Mpasuko nyingine mbaya nchini kwani nijuavyo kuna Mmoja Kihistoria tu Afya yake ilishakuwa na Mgogoro kwa kuwa na Kirusi cha Kuishi kwa Matumaini sasa akiingiwa tu na Kirusi cha Wuhan huenda Tanzania tukawa na Siku 15 au 30 za Maombolezo.
ujenge na nyumba kabisa hapo unaposubiri.

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Naona comments nyingi humu ni ushabiki na bendera fuata upepo.
1. Wote tunakumbuka jinsi mwaka Jana tulivyo pambana pamoja tulishinda
2. Rais kwa kinywa chake kesha sema tuchukue tahadhari zote, hata wizara ya afya imetoa muongozo, kosa la serikali liko wapi
3. Tukumbuke hii ni new variant, je nani kaleta? Is it only for Africa?
Hebu tuchukue tahadhari tukiwa tunajiuliza maswali.
Hata huko kwenye chanjo bado wanakufa in large numbers
Tuache kulaumu Rais bana. Huo ni ushamba
Acha ujinga wewe wakati watu wakivaa barakoa mnawavua, yule prof wa out katoa waraka wa kujikinga mkamgeuka
 
nipo dsm mtaa wa kwa azizi ally najaribu kufatilia kama kuna mtu yyte kadanja kwasababu ya hako ka mdudu ila bado sijaona yyte, na hakuna anaechukua tahadhari vile vile, sasa nazidi kuchanganyikiwa sana.
Acha uzushi wewe
 
Kanuni ni Ile Ile UKIFA UNAZIKWA TUNAENDELEA NA MAISHA.
Screenshot_20210217-205407.jpg
 
Back
Top Bottom