Wewe ni mwehu kwanini watu wakivaa barakoa mnawavua?Acha lugha za kuudhi wewe dada!!.....swali! je wavaa barakoa hawapati corona??
SAWA MTOA TAARIFA WA MBINGUNI.. 😌hakuna korona..ts just siku zao zimefika..Tatzo wanakufa kpind korona imeshika hatamu..
OhoooKiongozi mmoja mwandamizi katika awamu ya nne ameshatutoka, tunasubiri itifaki kuzingatiwa na tanzia iendelee.
Tunamtengaje sasa?Tumtenge yeye kabla hatujatengwa na dunia, hii ni nchi yetu sote.
Aliyesema haipo ndo hivo hataki kukanusha kauli yake... Kakomaa na kauli tata za mara haipo, mara ipo kidogo...Ongea kama mtu mwenye uelewa.
Propaganda ya kuwa Magu kamaliza Corona kwa maombi ya siku tatu imewakaa wapumbavu wengi sana...
yani mkuu miaka hii wangekufa wakina mzee mengi ruge watu wangesema ni corona utazani magonjwa mengine hayauwi Tanzania tuko vizuri au nasema uongo ndugu zanguuuuuHujawahi kuona mtu siku yake imefika akafa kwa marelia?
Hii kitu mtu akibisha shauri zakeHatari ,hali inatisha sana.
Kwenda kule nyie ndo waimba mapambio ya wa magufuli,Nchi ipo kwenye crisis, handling ya Corona inatupeleka pabaya mno.
ekzaktli..na hasa wakifa watu maarufu..yani mkuu miaka hii wangekufa wakina mzee mengi ruge watu wangesema ni corona utazani magonjwa mengine hayauwi Tanzania tuko vizuri au nasema uongo ndugu zanguuuuu
Kwa mtazamo wangu, watoto walioko Boarding wako salama zaidi na wazazi wao wako salama tofauti na watoto wakirudi nyumbani kuwathibiti wasijichanganye na kuleta maambuki ni ngumu sanaUnajuwa kazi ya serikali ni nini?? kazi yao kutoa miongozo sahihi kulinda wananchi wake wizara ya afya kazi yake nini? kula mananasi?? wakati tatizo lipo wao wako busy waziri na katibu wa afya kwenda katika media kupiga mapicha kuwa hatuna shida wako wagonjwa watatu tu wengine wana sukari na pressure tu, unatuma ujumbe gani kwa watu? watu wameanza kuvaa barakoa bila kuambiwa ila wao viongozi wa serikali hawataki kuvaa wanatuma ujumbe gani? wanashindwa kufunga shule maana watoto wako strong ila hawa ndio watawaletea magonjwa home na vijana. mimi nimesha zuia mtoto wangu kwenda shule mimi binafsi na liwalo liwe ila serikali inafanya nini? kazi yao nini? kula mananasi
Hapo ndio serikali ingetakiwa itoe tahadhari ili watu kama hao ambao hawana habari walazimishwe kufuata taratibu za kiafyaUswahilini bado watoto watu wazima wanajikusanya wanakaa vijiweni bila barakoa wala kunawa mikono huko ndipo kisimani maambukizi yote yamejaa
Kumbe kijazi alikuwa baba yako.[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Balozi John William Kijazi lala salama baba
Inaumaaaaa
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Tuendelee kuchukua tahadhari huku tukiomba sana Mungu
Pole Tanzania yangu [emoji174][emoji120]
Aliyesema haipo ndo hivo hataki kukanusha kauli yake... Kakomaa na kauli tata za mara haipo, mara ipo kidogo...
Nyungu ni changa la macho tu mkuuVipi hamtaki wiki ya nyungu tena?