Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Ng'ombe wewe mbona povu linakutoka sana.Acha kujimwambafy kwa haka ka pumzi Mungu alikokupendelea basi
Kama anavyowakatia wengine anaweza kukukatia wewe pia dakika yoyote
Ni kweli aiseehii tunaita symbiotic relation one is harmed one is benefiting hapo mtu anakuja kula shavu saaafi full ving,ola
Nasikitika kila kitu unawaza siasa, kukiwa na vifo 2 tu vya viongozi waandamizi wa serikali huo ni msiba mkubwa maana yake kuna baadhi ya shughuli za serikali zinasimama kama kuna ziara za viongozi wakuu wanaahirisha, sasa amefariki Maalim Seif, amefariki Kijazi ndani ya wiki moja unadhani huo msiba mdogo kwa upande wa serikaliWamekufa wangapi? Embu acheni kukuza vitu nyie Chadema. Hivi hamna aibu?
Tuendelee kuchukua tahadhari mkuuBrother unaweza kufa kwa hofu tu
Ndio kilichobaki... Kama huna sababu za kuzurula bora kuchili home tuTuendelee kuchukua tahadhari mkuu
Bwashee kwani kuhamasishana kumeanza leo? Kwanini watu hawasikili? Ni kwa sababu tayari Wizara ya Afya Tanzania ishasema "wenye mamlaka ya kutangaza mambo ya afya ni wao na waganga wakuu wa mikoa" sa nani ana habari na wanasiasa na raia wa kawaida?Badala kuweka nguvu kwenye kuhamasishana tujijinge, tupo bize kupigia kelele wenye mamlaka...
Maalim Seif amefariki au huu ni mfano unatoa?Nasikitika kila kitu unawaza siasa, kukiwa na vifo 2 tu vya viongozi waandamizi wa serikali huo ni msiba mkubwa maana yake kuna baadhi ya shughuli za serikali zinasimama kama kuna ziara za viongozi wakuu wanaahirisha, sasa amefariki Maalim Seif, amefariki Kijazi ndani ya wiki moja unadhani huo msiba mdogo kwa upande wa serikali
Lile bwenyeye kama mavi sijui Abbas liko kutwa hii inaitwa UVIKO 19 wengine wanaita Cov 19 huku linacheka alisikia hapa tunatafuta majina, angeita hata mapumbu yake inasaidia nini? katika majitu majinga lile dubwasha.Ana wadanganya kila siku sababu ya ujinga wanakubali, acha tuishe kwanza
They will know, wanatunyima chanjo. Mungu Baba tenda miujiza !Ingesaidia hawa VIP's wote wangepukitika hivi? Na hapa wala haihitaji Akili kubwa kujua ya kwamba kama akina Hamad na Kijazi wametangulia ghafla hivi basi hata Namba Moja na Namba Mbili Kikatiba hawako salama kivile na Binafsi naanza Kuingiwa na Mashaka juu ya hili...
Mkuu nimeshituka, au unamaanisha Maalim Seif yupi, mie namaanisha huyo chini kwa mujibu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi, JIBU UNAMAANISHA MAALIMU YUPI?Maalim Seif amefariki au huu ni mfano unatoa?
Edit: Basi mkuu google kanipa jibu
Sasa utashangaa mtu mjinga kama yule anateuliwa kuwa Katibu Mkuu KiongoziLile bwenyeye kama mavi sijui Abbas liko kutwa hii inaitwa UVIKO 19 wengine wanaita Cov 19 huku linacheka alisikia hapa tunatafuta majina, angeita hata mapumbu yake inasaidia nini? katika majitu majinga lile dubwasha.
Ni huyu. Nilikua sehemu haina access na habari leo naingia humu nikakuta comment yako ndiyo maana nikauliza.Mkuu nimeshituka, au unamaanisha Maalim Seif yupi, mie namaanisha huyo chini kwa mujibu wa Rais wa serikali ya Mapinduzi, JIBU UNAMAANISHA MAALIMU YUPI?
Kwa kweli mkuu. [emoji120]Umenikumbusha kauli ya mjomba wangu, mwaka jana Feb alisema me mwaka huu sitaumaliza nitakufa. Ni kweli, mwezi wa 6 akavuta. So jaribu kuwa naye karibu sn huyo mtoto, mtoe hofu na mpe mafunzo mazuri hasa kwenye dini na kufanya ibada
Wala siwezi kushangaa kabisa.Sasa utashangaa mtu mjinga kama yule anateuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi