Nowonmai
JF-Expert Member
- Jan 15, 2019
- 1,050
- 1,126
Kwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Acheni mambo ya ajabu! Eboo
Denial, denial.
Won’t get us anywhere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kabla ya Corona watu walikuwa hawafi? Acheni mambo ya ajabu! Eboo
Wacha kushabikia na kufurahia vifo vya wengine basi maana hujui baadae yakoNg'ombe wewe mbona povu linakutoka sana.
Nitolee uchuro mpuuzi weww.
serikali inajua nn inafanya aiwezi kuacha wananchi wake wateketee,,, unavyotaka kuwanyima watt haki yao ya msingi uo ni uzwazwaKo mpaka mtoto afe ndo uridhike!! Tumia akili yko vzur
JF kuna watu jamani khaa 🤔 , nimecheka utadhani hatuko msibani!Mmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
Nitoe kidokezo chengine tuu kwa vile naishi kwenye eneo lenye covid kwa muda wa zaidi ya mwaka.Nyungu inasaidia kupata afueni ya kupumua wakati tayari wewe ni mgonjwa wa covid au maradhi ya mafua. Kamwe nyungu haiwezi kuwa ni kinga ya maambukizi ya covid.NYUNGU,. Niwakti sahihi wakupiga nyungu kwa mara nyingine tena[emoji3525][emoji3525]
Hawa ndiyo mashujaa wa diktetaWala siwezi kushangaa kabisa.
Garmaa in hatari sanaHatari sana, RIP Kijazi
Jamani...Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.
Naona unatafuta bwana kwa lazima.Wacha kushabikia na kufurahia vifo vya wengine basi maana hujui baadae yako
Mungu sio Bobiamstadam [emoji849][emoji849][emoji849]
Wa kuwa bwana wewe🙄🙄🙄Naona unatafuta bwana kwa lazima.
Nitolee uchafu hapa.
Jikinge na corona acha porojo na ulalamishi. Kila mtu akijikinga kama ww tatizo litapungua.Wacha kuongea theory
Mimi mwendokasi ndo usafiri naweza afford
Nitembee kuanzia hapa stop over hadi posta?
Tuongee vitu halisi hapa sio dhahania
Ni kawaida hata kipindi kile mwaka jana wakati serikali inahimiza sana watu kunawa mikono kuna watu walikuwa wanabeza kwamba corona haiwezi kuondoka kwa kunawa mikono,ila baadaye hao waliyobeza wakaja kukubali corona ilipungua na Tz wakafanya mikutano ya kampeni kwa kuchangamana bila tahadhari zozote.Walisema akina Mbowe wakabezwa kwa kiwango cha kutisha, sasa tunashuhudia crisis kubwa ajabu ya misiba haijapata kutokea.
Huyo huyo mwenyewe!Hadi Afe nani?
Mwenyewe nina mafua hapa
Unamuomba vipi Mungu huku maelekezo yake ya kuvaa barakoa kupitia Roho Mtakatifu unayapinga?Hata wana wa Israel pamoja na yote waliyofanyiwa na Mungu kupita mtumishi wake Musa bado waliendelea kunungunika na kumpa lawama
"Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani;
wana wa Israeli wakawaambia, Laiti tungalikufa kwa mkono wa Bwana katika nchi ya Misri, hapo tulipoketi karibu na zile sufuria za nyama, tulipokula vyakula hata kushiba; kwani mmetutoa huko na kututia katika bara hii, ili kutuua kwa njaa kusanyiko hili lote."
Njia za Mungu sio sawa na za wanadamu.
Tuendelee kuchukua tahadhari na kubwa zaidi tumwombe Mungu sanaaa
Tate Mkuu Scars Da'Vinci Saint Ivuga Aladeen04 majumba 6
Unamuomba vipi Mungu huku maelekezo yake ya kuvaa barakoa kupitia Roho Mtakatifu unayapinga?
Aah, au umebaki wewe na lile toto la chuo pale jiraniMmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
Kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi sio nyingi, naye hujaa taabu... Pole sana MwifwaHadi Afe nani?
Mwenyewe nina mafua hapa
"Kesheni basi, kwa maana hamjui siku wala saa"Huyo huyo mwenyewe!