TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Mmmmh unaweza ukaamka kesho ukajikuta nchi nzima upo mwenyew, Rip
JF kuna watu jamani khaa 🤔 , nimecheka utadhani hatuko msibani!

Mungu utuhurumie, Mungu uturehemu!

RIP Balozi Kijazi!
 
NYUNGU,. Niwakti sahihi wakupiga nyungu kwa mara nyingine tena[emoji3525][emoji3525]
Nitoe kidokezo chengine tuu kwa vile naishi kwenye eneo lenye covid kwa muda wa zaidi ya mwaka.Nyungu inasaidia kupata afueni ya kupumua wakati tayari wewe ni mgonjwa wa covid au maradhi ya mafua. Kamwe nyungu haiwezi kuwa ni kinga ya maambukizi ya covid.

Nimeona bora nieke msisitizo maana nimeshasikia watu wengi wakisema unapiga nyungu, napata hisia kama watanzania wanaona kuvaa barakoa au kujikoleza nyungu ndio watakuwa salama huku wakiendelea kujichanganya kwenye misongomano bila ya social-distancing.

Hatua inayopitia TZ ni ile ya awali ya covid, nchi nyingi za magharibi zilikuwa kwenye hatua hii mnamo mwaka 2019/12 - 2020/3. Kipindi hiki ndio Wuhan kinawaka, wamagharibi wakaona ilo ni tatizo la kichina. Wakaendelea kujichanganya na kupiga mafestival, guess what ? They were all wrong!

Tizamani takwimu za nchi zilofuata maelekezo ya WHO na zile ambazo hazikufuata. Halafu mlinganishe idadi ya vifo ikoje.

Allah alete rehma zake inshallah.

Maasalaam
 
Walisema akina Mbowe wakabezwa kwa kiwango cha kutisha, sasa tunashuhudia crisis kubwa ajabu ya misiba haijapata kutokea.
 
Kuna moja nimetoka Kupenyezewa sasa hivi na nimeanza Kutetemeka kwani huenda Seif akasindikizwa na Mzanzibari Mwenzake mwana Mama, ila Jitu Bishi ameshapatwa na Presha na nasikia anahangaika mno Kumpigia Simu FM wa China Kumlaumu ila hawaelewani kwani Mchina anaongea Kiingereza cha ndani kabisa huku Yeye akichanganya tu Kisubi, Kiswahili na Kisato pamoja na Kisangara chake.
Jamani...
 
Wacha kushabikia na kufurahia vifo vya wengine basi maana hujui baadae yako
Mungu sio Bobiamstadam [emoji849][emoji849][emoji849]
Naona unatafuta bwana kwa lazima.

Nitolee uchafu hapa.
 
Korona ni adui wa Kila mtu

Mpaka sasa, hakuna aliye salama!

Lakini labda tukumbushane tu, Mungu wetu ametupanda, na anapotaka kuvuna hahitaji kuuliza ni kivipi atavuna mazao yake,

Lakini ole wake asiyemcha yeye
 
Wacha kuongea theory

Mimi mwendokasi ndo usafiri naweza afford

Nitembee kuanzia hapa stop over hadi posta?

Tuongee vitu halisi hapa sio dhahania
Jikinge na corona acha porojo na ulalamishi. Kila mtu akijikinga kama ww tatizo litapungua.

Ushaambiwa corona haipo kama ww unaiona ipo kwann unasubiri asiyeiona akuambie jikinge? Yaani Kama nyumbu, kiongozi akisema ruka kwenye mto wenye mamba hawapo hujiulizi ni kuruka tu, na wenzako nao wanaruka hata kama mnawaona hao mamba?.

Kiongozi kama anakosea kumrekebisha haiwezekani, maandamano yakiitishwa hapa hutatoka, mgomo ukiitishwa hutagoma ila unajua kulia kama punda kwenye mitandao.. whoaaaaa, whoaaaaaaa yaani ni kulalamika weee ila ukiambiwa haya ruka mtoni uliwe, ni kuruka waaaaa.

Jikinge na corona ww na familia yako. Kila mtu akifanya kama ww vifo vitapungua. Watu wanakufa hata hao walioko serekalini.

Serikali imeamua kufanya inalofanya kwa sababu zake. Kama serikali mbovu pigania mabadiliko basi ili yafanyike maaamuzi sahihi, yakiitishwa maandamano hutatoka, chukua hatua mwenyewe ujilinde napo hutaki. Ni malalamiko tuuu ila corona yenyewe haielewi malalamiko.
 
Walisema akina Mbowe wakabezwa kwa kiwango cha kutisha, sasa tunashuhudia crisis kubwa ajabu ya misiba haijapata kutokea.
Ni kawaida hata kipindi kile mwaka jana wakati serikali inahimiza sana watu kunawa mikono kuna watu walikuwa wanabeza kwamba corona haiwezi kuondoka kwa kunawa mikono,ila baadaye hao waliyobeza wakaja kukubali corona ilipungua na Tz wakafanya mikutano ya kampeni kwa kuchangamana bila tahadhari zozote.
 
Hata wana wa Israel pamoja na yote waliyofanyiwa na Mungu kupita mtumishi wake Musa bado waliendelea kunungunika na kumpa lawama

"Na mkutano mzima wa wana wa Israeli ukawanung'unikia Musa na Haruni, huko barani;
wana wa Israeli wakawaambia, Laiti tungalikufa kwa mkono wa Bwana katika nchi ya Misri, hapo tulipoketi karibu na zile sufuria za nyama, tulipokula vyakula hata kushiba; kwani mmetutoa huko na kututia katika bara hii, ili kutuua kwa njaa kusanyiko hili lote."

Njia za Mungu sio sawa na za wanadamu.

Tuendelee kuchukua tahadhari na kubwa zaidi tumwombe Mungu sanaaa

Tate Mkuu Scars Da'Vinci Saint Ivuga Aladeen04 majumba 6
 
Unamuomba vipi Mungu huku maelekezo yake ya kuvaa barakoa kupitia Roho Mtakatifu unayapinga?
 
Unamuomba vipi Mungu huku maelekezo yake ya kuvaa barakoa kupitia Roho Mtakatifu unayapinga?

Uliza kwanza kama yale maelfu ya vifo kule Europe na Asia na U.S. kama walikufa sababu walikua hawavai barakoa
Mawazo ya Mungu sio kama yako Mwanamayu
 
Back
Top Bottom