TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Acha kujimwambafy kwa haka ka pumzi Mungu alikokupendelea basi
Kama anavyowakatia wengine anaweza kukukatia wewe pia dakika yoyote
Ng'ombe wewe mbona povu linakutoka sana.

Nitolee uchuro mpuuzi wewe.
 
Wamekufa wangapi? Embu acheni kukuza vitu nyie Chadema. Hivi hamna aibu?
Nasikitika kila kitu unawaza siasa, kukiwa na vifo 2 tu vya viongozi waandamizi wa serikali huo ni msiba mkubwa maana yake kuna baadhi ya shughuli za serikali zinasimama kama kuna ziara za viongozi wakuu wanaahirisha, sasa amefariki Maalim Seif, amefariki Kijazi ndani ya wiki moja unadhani huo msiba mdogo kwa upande wa serikali
 
Badala kuweka nguvu kwenye kuhamasishana tujijinge, tupo bize kupigia kelele wenye mamlaka...
Bwashee kwani kuhamasishana kumeanza leo? Kwanini watu hawasikili? Ni kwa sababu tayari Wizara ya Afya Tanzania ishasema "wenye mamlaka ya kutangaza mambo ya afya ni wao na waganga wakuu wa mikoa" sa nani ana habari na wanasiasa na raia wa kawaida?

Heb vaa tu barakoa upite mtaani uone unavyoonekana mchawi. Ww ndio unajipenda sana? Yan bila uongozi toka juu kusema na kuweka kama sheria ya dharura kunawa na kuvaa barakoa ujue tutakufa kama kuku.

Serikali inaona ikitangaza ivyo watu watakuwa na hofu lakini tunashuhudia uwe na hofu usiwe na hofu ukitembelewa safari iko pale pale.
 
Nasikitika kila kitu unawaza siasa, kukiwa na vifo 2 tu vya viongozi waandamizi wa serikali huo ni msiba mkubwa maana yake kuna baadhi ya shughuli za serikali zinasimama kama kuna ziara za viongozi wakuu wanaahirisha, sasa amefariki Maalim Seif, amefariki Kijazi ndani ya wiki moja unadhani huo msiba mdogo kwa upande wa serikali
Maalim Seif amefariki au huu ni mfano unatoa?

Edit: Basi mkuu google kanipa jibu
 
Ingesaidia hawa VIP's wote wangepukitika hivi? Na hapa wala haihitaji Akili kubwa kujua ya kwamba kama akina Hamad na Kijazi wametangulia ghafla hivi basi hata Namba Moja na Namba Mbili Kikatiba hawako salama kivile na Binafsi naanza Kuingiwa na Mashaka juu ya hili...
They will know, wanatunyima chanjo. Mungu Baba tenda miujiza !
 
Lile bwenyeye kama mavi sijui Abbas liko kutwa hii inaitwa UVIKO 19 wengine wanaita Cov 19 huku linacheka alisikia hapa tunatafuta majina, angeita hata mapumbu yake inasaidia nini? katika majitu majinga lile dubwasha.
Sasa utashangaa mtu mjinga kama yule anateuliwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
 
Umenikumbusha kauli ya mjomba wangu, mwaka jana Feb alisema me mwaka huu sitaumaliza nitakufa. Ni kweli, mwezi wa 6 akavuta. So jaribu kuwa naye karibu sn huyo mtoto, mtoe hofu na mpe mafunzo mazuri hasa kwenye dini na kufanya ibada
Kwa kweli mkuu. [emoji120]
 
Back
Top Bottom