Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Acha wote tucheze mdundo mmoja sio masikini sio tajiri, safari hii wote tunabanana humu humu ndani hakuna kwenda kutibiwa nje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe utakuwa na shida kubwa sana tumboni.Wewe utakua na shida kubwa sana kichwani.
Misimamo ya kijinga kabisaHakika mkuu. Rais kua na misimamo ya kijinga hivi ni hatariiiii sanaa
Ulipaza sana sauti humu mwaka jana nakumbuka serikali ilipokuwa inapuuzia hadi kukasirikaR.I.P Kijazi. Barakoa ingeweza kusave maisha yako.Too sad. Enough is enough.
Vipi ile kesi ya jamaa kumpiga hadi kumuua mke wake imefikia wapi?Kama hii corona imetemgenezwa na wazungu, basi ya mwaka jana ilikua ni beta version, Tanzania wameleta yenyewe..
Tujikinge
Tuko vizuri.......tutembee vifua mbereNgoma ishagonga ikulu ! Yetu macho! Kupanga ni kuchagua
Ko mpaka mtoto afe ndo uridhike!! Tumia akili yko vzurwe umeona wapi kuna mtt kafa na corona??
Em waache watoto wakapate elimu
Sent from my Nokia 2 using JamiiForums mobile app
Kuna fala moja lilisema eti wafuasi wa TL na Chadema ndip wanaolilia chanjo ya covid19wangekuwepo chadema tungewasingizia hata hili...
MATAGA mmepotea ghafla hapa....Tunaanza kuongea lugha moja maana leo kolonya imegonga "PENTAGON".
Alimsahau mwinyikulu kijazi??Unaweza kukuta stone amejipiga chanjo mapema anatuchora tu,Hana maana kabisa yule jamaa
vilituliaga Sasa vimeibuka upyaKwani aliwahi kupona?