TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Hivii... yale maombi yetu yame-expire???

No, Tatizo Virus ni mjanja sana. Ukitaka kumuua anajibarisha.

Sio kama bacteria.

Pia magonjwa ya Virus ni magumu inachukua muda mwingi sana kupata kinga ya uhakika. HIV, Cold, Ebola, Spanish Flu, Sars - Cov, Dengue, Smallpox Corona viruses bado wapo. Wanapeta. They mutate (wanabadilika) all the time.

Kumkabili Virus yoyote zaidi ni kuchukua tahadhari, kula vizuri, kujilinda nk. Corona inaweza kuendelea zaidi ya miaka mitano.

Uzuri pia miili inatusaidia kupata naturally imunity.

Zile antibodies ni wanawajeshi, walinzi wetu wanatulinda wakiwasoma hawatusumbua sana kivile.

Maisha yaendelee kwa tahadhari kama kawaida, kwa tahadhari zote.
 
naona magu anataka Tanzania itengeneze aina mpya za virusi vya corona.
 
Another shot on target
IMG_20210218_001534.jpg
 
Kuchukua tahadhari hadi uambiwe na serikali? Are u serious?
Mimi na wewe tunaelewa..lkn asilimia kubwa mnooo ya watanzania hawajui wala hawajali.. asa long as alisema hakuna korona kuna wanaomuamini...humu tu kuna MATAGA wanasema hakuna...seuse usweken. Lkn leo Rais akisema korona ipo na lazima kujilinda utaona kesho mji mzima una barakoa... las,t year si uliona watu walivyochukua tahadhari.. ?? Ila sasa anaanzaje???
 
Afunge mashule wiki sita maambukizi yatapungua.
 
Which Tanzania? Stop exaggerating matters.
Jane Lowassa unanifahamu siku zote nimekuwa upande wa Magufuli si ndio? Katika hili swala Sina kabisa hizo nguvu. CORONA is no longer a doubtful story.

Rais kama kiongozi anapaswa kukubali makosa yake, abadili msimamo wake Ili kuokoa waliobaki. Nafikiri huo ndo uongozi.
 
Hili swala litamaliza watu Kama juhudi madhubuti hazitovhukuliwa hivi ni Vita kamili
 
No, Tatizo Virus ni mjanja sana. Sio kama bacteria yeye ukitaka kumuua anajibarisha.

Sio kama bacteria.

Pia magonjwa ya Virus ni magumu inachukua muda mwingi sana kupata kinga ya uhakika. HIV, Cold, Ebola, Spanish Flu, Sars - Cov, Dengue, Smallpox Corona viruses bado wapo. Wanapeta. They mutate (wanabadilika) all the time.

Kumkabili Virus yoyote zaidi ni kuchukua tahadhari, kula vizuri, kujilinda nk. Corona inaweza kuendelea zaidi ya miaka mitano.

Maisha yaendelee kawaida kwa tahadhari zote.
Na nyie fanyeni kitu sio kukariri maandishi tu, sijui shule mlienda kusoma nini?? Kweny ishu serious za kutafuta chanjo mpo kmy poor Wasomi wa Tanzania
 
The black cloud is hovering over Tanzanian skies.
Which Tanzania? Stop exaggerating matters.
Which Tanzania? Stop exaggerating matters.
The United Republic of Tanzania, in the east african region bordered by Kenya,Uganda,Burundi,Rwanda,DRC,Malawi,Zambia,Mozambique and the Indian ocean, and a couple of islandic countries.
 
Back
Top Bottom