ruaharuaha
JF-Expert Member
- Feb 14, 2018
- 3,586
- 3,857
Hivii... yale maombi yetu yame-expire???
No, Tatizo Virus ni mjanja sana. Ukitaka kumuua anajibarisha.
Sio kama bacteria.
Pia magonjwa ya Virus ni magumu inachukua muda mwingi sana kupata kinga ya uhakika. HIV, Cold, Ebola, Spanish Flu, Sars - Cov, Dengue, Smallpox Corona viruses bado wapo. Wanapeta. They mutate (wanabadilika) all the time.
Kumkabili Virus yoyote zaidi ni kuchukua tahadhari, kula vizuri, kujilinda nk. Corona inaweza kuendelea zaidi ya miaka mitano.
Uzuri pia miili inatusaidia kupata naturally imunity.
Zile antibodies ni wanawajeshi, walinzi wetu wanatulinda wakiwasoma hawatusumbua sana kivile.
Maisha yaendelee kwa tahadhari kama kawaida, kwa tahadhari zote.