Kwani wewe serikali ikitangaza dharura utapungukiwa nini? We unajuaje kama alietoa wazo hajikingi? Mwisho wa yote we ndo serikali?Kujilinda ni jukumu la mtu binafsi. Ina maana huna sabuni? Huna uwezo wa kununua barakoa ya 500? Huwezi kuweka distance kati yako na mtu mwingine? Unataka Rais akushikie kiboko kufanya hayo? Embu tuwe serious kidogo jamani.
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app