Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kiseme tu tujiandae kisaikolojiaNachokiwaza bora nisiseme nikae kimya lakini ni hatari inakuja mbele.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiseme tu tujiandae kisaikolojiaNachokiwaza bora nisiseme nikae kimya lakini ni hatari inakuja mbele.
Haya maswali ni ya kijinga, na nimeyaona sana hasa kwa wanalumumba, watu ambao mna access ya kufuatilia na kujua mambo ni wachache.Hi mambo mingine sielewi bhana...
Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!
Mkuu ukisema hivi unakosea ,wewe unajua ipo ,watu wengi hasa wa vijijin propaganda za hawali zilisha wakaa ,serikali KWA Sasa nikutangaza rasmi, ili iwe sheria KWA kila mwana nchi , na kila sehemu kuchukua tahadhali Kama ilivyokua mwanzo, kusitisha mikusanyiko usiokua ya lazima, kupunguza misongamano kwenye magari, n.k.Hi mambo mingine sielewi bhana...
Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!
Kuna mambo lazima serikali ichukue hatue kwamfano,dala dala hakuna social distance unadhani wewe utajikingaje bila ya serikali kuweka muongozo mzuri?,vip kuhusu kukataza mikusanyiko? Kuna mambo lazima serikali yenyewe ifanye namna mzeeKama kujikinga na korona unasubiri kutangaziwa ja serikali endelea kusubiri sana. Mliobaki tuchukue hatua korona ipo na inaua.
Kama viongozi wetu ndiyo mashabiki wakubwa wa janga hili, unategemea raia wa kawaida achukue hatua gani?Tatizo wabongo tu wabishi sana. Unakutana na mtu anakuambia Tanzania hamna Corona.
Unajiuliza kama mataifa mengine yote covid-19 ipo na inaua watu daily sisi Tanzania tuna ubia gani na Mungu mpaka covid isiwepo kwetu?
Ujinga huu huu ndio ulisababisha SA mpaka sasa AIDs ni janga kubwa. Kisa rais aliwaambia dawa ya ukimwi kuoga maji baridi.
Mr P nirafiki sana na Ambassador na huwa wanashinda sana wote... Nadhani utakuwa umenielewa sasa hapo.Kiseme tu tujiandae kisaikolojia
Badala kuweka nguvu kwenye kuhamasishana tujijinge, tupo bize kupigia kelele wenye mamlaka...
Nadhani ingekuwa poa tungekuwa bize kuhamasishana kujikinga... Kuanzia kwa viongozi wa upinzani mpaka raia wa kawaida... Badala ya kila siku kuja na malalamiko kwa meko na wapambe wake, tungekuwa tunakuja na thread, post na tweet za namna bora ya kujikinga sisi kwa sisi...
Hahahahaa nyama tutazikuta downMlishasema nyinyi inatosha..
Tuendelee kula mtorii....
IBADA NDUGU..Aisee duniani sio kitu
Hujawahi kuona mtu siku yake imefika akafa kwa marelia?hakuna korona..ts just siku zao zimefika..Tatzo wanakufa kpind korona imeshika hatamu..
Hujawahi kuona mtu siku yake imefika akafa kwa marelia?hakuna korona..ts just siku zao zimefika..Tatzo wanakufa kpind korona imeshika hatamu..
Inatakiwa ipigi juu kabisa wale watatu kwanzaSasa hivi hii kitu inapiga huko juu juu kwanza.
Ana wadanganya kila siku sababu ya ujinga wanakubali, acha tuishe kwanzaWatendaji wakuu serikalini wasipo muasi magufuli watakufa kama nzige.
Unajua kutangaza sio kusema tu ipo asee wewe ndo mjinga kweli hujui kwamba hatua za muhimu lazima zifanywe na serikali kama vile kupiga marufuku mikusanyiko,madaladala kuweka utaratibu level seat na mambo mengineHuyu naye ka jinga vile, sasa wakitangaza ndiyo itaisha? Kila mtu ajilinde kivyake ukisubiri kutangaziwa na serikali utaishia! Tupigeni nyungu jamani!
Usiwalaumu wananchi wapo sahihi kusema Tanzania hakuna corona kutokana na wanavyo sikia kutoka kwa viongozi wao. Kwani wewe tangu usikie corona imeingia ulisha wahi kusikia wapi Tanzania mtu katangazwa kuwa amekufa kwa corona?Tatizo wabongo tu wabishi sana. Unakutana na mtu anakuambia Tanzania hamna Corona.
Unajiuliza kama mataifa mengine yote covid-19 ipo na inaua watu daily sisi Tanzania tuna ubia gani na Mungu mpaka covid isiwepo kwetu?
Ujinga huu huu ndio ulisababisha SA mpaka sasa AIDs ni janga kubwa. Kisa rais aliwaambia dawa ya ukimwi kuoga maji baridi.
Pole sn mkuuNimewazika wakwe wawili Kwa siku moja Baba na mama ilikuwa tar.05.02.2021
[emoji40]