TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Hi mambo mingine sielewi bhana...

Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!
Haya maswali ni ya kijinga, na nimeyaona sana hasa kwa wanalumumba, watu ambao mna access ya kufuatilia na kujua mambo ni wachache.

Watu wengi wanasikiliza serikali imesema nini, na ndiyo maana watanzania wengi wanakuambia Tanzania hakuna Corona kisa Magufuli alisema Tanzania hakuna Corona.

Coronna awamu ya kwanza watu walivaa mask wakanawa mikono sababu serikali ilitangaza kuwa Corona ipo na ikaweka masharti, kila mlango ulikuwa na ndoio ya maji.

NENO LA SERIKALI NI MUHIMU ILI KUWAOKOA WAJINGA AMBAO NI WENGI TANZANIA.
 
Hi mambo mingine sielewi bhana...

Kwani tunahitaji kutangaziwa ndo tujue ipo?!!
Mkuu ukisema hivi unakosea ,wewe unajua ipo ,watu wengi hasa wa vijijin propaganda za hawali zilisha wakaa ,serikali KWA Sasa nikutangaza rasmi, ili iwe sheria KWA kila mwana nchi , na kila sehemu kuchukua tahadhali Kama ilivyokua mwanzo, kusitisha mikusanyiko usiokua ya lazima, kupunguza misongamano kwenye magari, n.k.

Acheni maneno ya madharau Kama haya
 
Kama kujikinga na korona unasubiri kutangaziwa ja serikali endelea kusubiri sana. Mliobaki tuchukue hatua korona ipo na inaua.
Kuna mambo lazima serikali ichukue hatue kwamfano,dala dala hakuna social distance unadhani wewe utajikingaje bila ya serikali kuweka muongozo mzuri?,vip kuhusu kukataza mikusanyiko? Kuna mambo lazima serikali yenyewe ifanye namna mzee
 
Tatizo wabongo tu wabishi sana. Unakutana na mtu anakuambia Tanzania hamna Corona.

Unajiuliza kama mataifa mengine yote covid-19 ipo na inaua watu daily sisi Tanzania tuna ubia gani na Mungu mpaka covid isiwepo kwetu?

Ujinga huu huu ndio ulisababisha SA mpaka sasa AIDs ni janga kubwa. Kisa rais aliwaambia dawa ya ukimwi kuoga maji baridi.
Kama viongozi wetu ndiyo mashabiki wakubwa wa janga hili, unategemea raia wa kawaida achukue hatua gani?
 
Badala kuweka nguvu kwenye kuhamasishana tujijinge, tupo bize kupigia kelele wenye mamlaka...

Nadhani ingekuwa poa tungekuwa bize kuhamasishana kujikinga... Kuanzia kwa viongozi wa upinzani mpaka raia wa kawaida... Badala ya kila siku kuja na malalamiko kwa meko na wapambe wake, tungekuwa tunakuja na thread, post na tweet za namna bora ya kujikinga sisi kwa sisi...

Ongea kama mtu mwenye uelewa.

Propaganda ya kuwa Magu kamaliza Corona kwa maombi ya siku tatu imewakaa wapumbavu wengi sana.

Hapa mjini tu ukivaa barakoa watu wanakushangaa, Bagamoyo ukienda na barakoa wanakuzomea wanasema Magu ameitokomeza Corona.

Tweet au post za tahadhari jamii forum zinasaidia nini?

Aliyesema Tanzania hakuna Corona aseme ipo ili wapumbavu wanaomfuata wachukue tahadhari.
 
Huyu naye ka jinga vile, sasa wakitangaza ndiyo itaisha? Kila mtu ajilinde kivyake ukisubiri kutangaziwa na serikali utaishia! Tupigeni nyungu jamani!
Unajua kutangaza sio kusema tu ipo asee wewe ndo mjinga kweli hujui kwamba hatua za muhimu lazima zifanywe na serikali kama vile kupiga marufuku mikusanyiko,madaladala kuweka utaratibu level seat na mambo mengine
 
Tatizo wabongo tu wabishi sana. Unakutana na mtu anakuambia Tanzania hamna Corona.

Unajiuliza kama mataifa mengine yote covid-19 ipo na inaua watu daily sisi Tanzania tuna ubia gani na Mungu mpaka covid isiwepo kwetu?

Ujinga huu huu ndio ulisababisha SA mpaka sasa AIDs ni janga kubwa. Kisa rais aliwaambia dawa ya ukimwi kuoga maji baridi.
Usiwalaumu wananchi wapo sahihi kusema Tanzania hakuna corona kutokana na wanavyo sikia kutoka kwa viongozi wao. Kwani wewe tangu usikie corona imeingia ulisha wahi kusikia wapi Tanzania mtu katangazwa kuwa amekufa kwa corona?
 
Back
Top Bottom