TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

Jumuiya ya Afrika mashariki Kuna shida kubwa,Hilo hatukatai,lakini Ndugu zetu Wana wa Tanganyika shida yenu Ni kubwa mno,Jei pea M amekuwa ndiye kiongozi mwenye ukaragosi wa kutisha,ndiye anayesema kila kitu huko,Mara atoe Amri Kwa wizara ya elimu,Tena Kwa wizara ya afya,hivi akisema umeshiba utakubali?

Ndugu zetu jiamulieni,elimu yake naishuku.hizi athari zimezidi Tanganyika,kuanzia nyakati za kinjeketile Ngware mpaka Sasa Karne ya 21,mataifa mengine yamepeleka wanasayansi Kwa mwezi Na nyinyi bado mpo palepale Kwa ujamaa uliofeli,inasikitisha.

Mficha maradhi,mauti humuumbua.

Poleni Kwa majanga mnayoyapitia.
 
Hali ni mbaya sana, hatuna budi kuchukua tahadhali
Bro! Science rarely goes wrong...

Na kibaya, science, especially ya Magonjwa haisisimui, ukiona unafika mahali misiba inasisimua, ukweli hali halisi inakua mbaya sana.

Tunachotakiwa kufanya sasa hivi, ni kuwapima watu wetu wote wenye dalili, kuhakikisha tunaelewa mutation tulio nayo, haraka kuijaribu kama chanjo zilizotengenezwa zinawezana nayo. Kama haziwezi, haraka tuombe WHO walete timu yao idevelop chanjo for that specific variant.

Tukiendelea na approach ya "let the best immune system win and Inshallah", walah, in a space of 2 years we may lose up to 40% ya current population.

The viruses are weird creatures when it comes to mutations, hatutakiwi kumuacha huyu virus atembee anavyojisikia tena.

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Ongea kama mtu mwenye uelewa.

Propaganda ya kuwa Magu kamaliza Corona kwa maombi ya siku tatu imewakaa wapumbavu wengi sana...
Aliyesema haipo ndo hivo hataki kukanusha kauli yake... Kakomaa na kauli tata za mara haipo, mara ipo kidogo...

Kilichobaki ni sisi kuwajibika kupambana kwa level yetu... Kelele nyingi keshapigiwa ila ndo hivo kaziba masikio...

Badala ya kuendelea kutumia nguvu kum-push akane misimamo yake ni bora nguvu hii ielekezwe kwa sisi kwa sisi kutaarifiana uhalisia wa hali... Hapa walau tutafanikiwa hata kama ni kuokoa maisha ya mtu mmoja.
 
Hujawahi kuona mtu siku yake imefika akafa kwa marelia?
yani mkuu miaka hii wangekufa wakina mzee mengi ruge watu wangesema ni corona utazani magonjwa mengine hayauwi Tanzania tuko vizuri au nasema uongo ndugu zanguuuuu
 
yani mkuu miaka hii wangekufa wakina mzee mengi ruge watu wangesema ni corona utazani magonjwa mengine hayauwi Tanzania tuko vizuri au nasema uongo ndugu zanguuuuu
ekzaktli..na hasa wakifa watu maarufu..
 
Unajuwa kazi ya serikali ni nini?? kazi yao kutoa miongozo sahihi kulinda wananchi wake wizara ya afya kazi yake nini? kula mananasi?? wakati tatizo lipo wao wako busy waziri na katibu wa afya kwenda katika media kupiga mapicha kuwa hatuna shida wako wagonjwa watatu tu wengine wana sukari na pressure tu, unatuma ujumbe gani kwa watu? watu wameanza kuvaa barakoa bila kuambiwa ila wao viongozi wa serikali hawataki kuvaa wanatuma ujumbe gani? wanashindwa kufunga shule maana watoto wako strong ila hawa ndio watawaletea magonjwa home na vijana. mimi nimesha zuia mtoto wangu kwenda shule mimi binafsi na liwalo liwe ila serikali inafanya nini? kazi yao nini? kula mananasi
Kwa mtazamo wangu, watoto walioko Boarding wako salama zaidi na wazazi wao wako salama tofauti na watoto wakirudi nyumbani kuwathibiti wasijichanganye na kuleta maambuki ni ngumu sana
 
Uswahilini bado watoto watu wazima wanajikusanya wanakaa vijiweni bila barakoa wala kunawa mikono huko ndipo kisimani maambukizi yote yamejaa
Hapo ndio serikali ingetakiwa itoe tahadhari ili watu kama hao ambao hawana habari walazimishwe kufuata taratibu za kiafya
 
[emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174][emoji174]
Balozi John William Kijazi lala salama baba
Inaumaaaaa
Pole sana kwa familia na wote walioguswa na msiba
Tuendelee kuchukua tahadhari huku tukiomba sana Mungu
Pole Tanzania yangu [emoji174][emoji120]
Kumbe kijazi alikuwa baba yako.


Mmeanza kuelewa SoMo na bado.
 
Aliyesema haipo ndo hivo hataki kukanusha kauli yake... Kakomaa na kauli tata za mara haipo, mara ipo kidogo...

Kumpush ni lazima kwa sababu ukaidi wake utaua ndugu zetu wajinga wengi.

Wewe ni watu wangapi ukiwaambia kuna Corona wajikinge watakusikiliza?

Wangapi akisema Magufuli watasikiliza?.
 
Mabeberu wametuletea corona yenyewe ile ya march mwaka jana ilikuwa ni kama Mafia tu

Sasa ni wakati wa Jiwe kujitokeza hadharani na kuwatangazia watanzania hali halisi maana hata mitungi ya oxygen hakuna
 
Back
Top Bottom