matrixe
Member
- Sep 7, 2020
- 92
- 428
Jumuiya ya Afrika mashariki Kuna shida kubwa,Hilo hatukatai,lakini Ndugu zetu Wana wa Tanganyika shida yenu Ni kubwa mno,Jei pea M amekuwa ndiye kiongozi mwenye ukaragosi wa kutisha,ndiye anayesema kila kitu huko,Mara atoe Amri Kwa wizara ya elimu,Tena Kwa wizara ya afya,hivi akisema umeshiba utakubali?
Ndugu zetu jiamulieni,elimu yake naishuku.hizi athari zimezidi Tanganyika,kuanzia nyakati za kinjeketile Ngware mpaka Sasa Karne ya 21,mataifa mengine yamepeleka wanasayansi Kwa mwezi Na nyinyi bado mpo palepale Kwa ujamaa uliofeli,inasikitisha.
Mficha maradhi,mauti humuumbua.
Poleni Kwa majanga mnayoyapitia.