Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo
Yaani haiwezekani mtumishi wa umma anapokea vijisenti halafu wabunge ambao KAZI Yao ni kugonga meza tu analipwa 18 milioni hii ni haki?hii ni sahihi? Vp tukiiba sie watumishi wa umma mtatulaumu? Mtu amesoma sana halafu anakuja kulipwa mshahara mbuzi hii haiwezekani kabisa aisee
Watumishi wengi wa umma Tanzania wengi wanapumulia mashine tu ila ni waoga na wajinga kupitiliza wengi kazi yao ni kupiga mapambio tu na watumishi wengi wa umma ni kama hauwajielewi kabisa yaani wapo Very comfortable na kazi yao ni kupiga majungu Tu huko maofisi kwao
Enough is enough! Nimechoka na huu nani amewaambia utumishi wa umma ni wito Nani? Sisi tuna familia na kuna watu nyuma wanatutegemea sasa kwa huo mshahara unasaidia nini? Enough is enough haiwezekani I will anything to get money mimi si mjinga hii nchi ni wote
Angalizo
Moderator acheni uchawa kwa wanasiasa kutokana na kauli mbiu yenu " dare to talk openly'" acheni Uzi upepee 🥳🥳