Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mkuu kati ya comment zilizonifurahisha leo na kutengeneza siku yangu ni hii, team magufuli standard oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
majaliwa pekee katika huu uongozi ndiye naemuona ana kazi ngumu kuliko wote, huyu mtu inabidi atumie extra brain kukabiliana na dhoruba or otherwise achukue upande wa pili ambao hauna gharama na hauhitaji nguvu, upande wa kua neutral tu na kuangalia penye maslahi. yani kufanya utendaji just for grantedKusema kuwa pengine wako watu na inawezekana kabisa wamepewa budget ya kumchafua mwendazake na wale watu wote waliokuwa wa mkono wake wa kuume.!!
Msichojua Mwendazake JPM alikuwa mwalimu mahiri. Kawafundisha viongozi wa Tanzsnia aliofanya kazi nao. Wengine walishindwa akawatumbua akiwa hai(End of semistars Exam walifeli). Walio baki hawakujua amewatungia mtihani wa final na uko kwenye shelves na marking scheme yake kawakabidhi Watanzania Wazalendo. Wapende wasipende viongozi waliocha nyuma na JPM tutawapima kwa marking scheme ya Mwenda zake.
PM majaliwa anaongoza haya maswali mwanzo ya T/F anascore. Atakuwa alikuwa mwanafunzi mzuri wa JPM. Wako wengine wala hawajajielewa kwamba wako kwenye Exam theatre.
majaliwa pekee katika huu uongozi ndiye naemuona ana kazi ngumu kuliko wote, huyu mtu inabidi atumie extra brain kukabiliana na dhoruba or otherwise achukue upande wa pili ambao hauna gharama na hauhitaji nguvu, upande wa kua neutral tu na kuangalia penye maslahi. yani kufanya utendaji just for granted
Matumizi mabaya ya "Mstaafu".Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana.
CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa za rough na nzuri za CCM. Tunakuhakikishia tu kuwa Rais Mama Samia Suluhu tunaenda kumpa Uenyekiti wa CCM kwa asilimia 100. Hakuna hata Mjumbe moja wa Mkutano Mkuu atamnyima Mama kura. Mama ni zao letu CCM na tunamjua.
Umekuwa ukifatiliwa sana mara kwa mara na tumegundua unafanya juhudi kubwa sana ili Mama asipata asilimia 100. Unasumbuka na unahangaika. Tarehe 30, April unaenda kupata pigo takatifu la Mwaka.
Ulibebwa na mfumo wa awamu ya tano, pamoja na kuwa You were outsider. Hukuijua CCM bali kwa muda uliokaa umekiua Chama kabisa. Sasa hili unalofanya huwezi kufanikiwa.
Tarehe 30, April 2021. Rasmi Mama tunaenda kumpa Chama ili naye akisuke mpya.
Siasa za kijinga za Afrika.Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana.