Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Moja ya njia unayotumiwa na waalifu Duniani Kwa sasa nikuzichungulia fedha zinazotolewa na serikali au taasisi bila kulipwa kwenye akaunti husika. Kwa nchi nyingi za Afrika malipo ya fedha nyingi za kuendesha Ofisi yamewekwa kwenye safari na vikao; wakati mwingine mataifa corrupt ulazimisha hata fedha za manunuzi kuwekwa kwenye vifungu vinavyoruhusu fedha hizo kutumika kulipana cash.
Nchi yetu imezungukwa na mataifa yenye matoshio ya Uhalifu wakati ambao watumishi WA umma wamekumbatia mfumo wa kulipana fedha keshi na ikumbukwe kwamba moja ya hoja ya wao kulipana cash nikutokana na ukweli kwamba kinacholipwa hakina uhalisia.
Mfano; mwezi mmoja wenye siku 30 usishangae ukakuta kiongozi amelipwa fedha tofauti tofauti za serikali zinazofikia malipo hata ya siku 60.
Hii inatokea Kwa Sababu viongozi wote wanapinga uwepo wa mifumo ya malipo inayoondoa malipo ya cash kwenye posho za safari na vikao.
Fedha wanazolipwa cash nyingi zinatumika kufadhili Uhalifu Bila wao kujua; kuna kipindi ilikuwa ikifika kipindi cha Bunge wanawake WA mataifa ya nje walikuwa wanajazana Dodoma; Nani anajua madhumuni Yao yalikuwa nini? Lakini pia Kwa kuwa fedha hizi hizi hazipo kwenye mifumo na zinalipwa Kwa udanganyifu awazitumii Kwa shughuli za maendeleo Bali wanazitumia Kwa shughuli haramu. Na Kwa mantiki hiyo upo uwezekano zikaangukia kwenye mikono ya wahalifu na zikatumika kubomoa nchi. Corruption Vs organized crime.
Mama nikuombe fuata nyayo za US na mataifa mengine makubwa; hakuna mtumishi anayelipwa nje ya akaunti yake. Hii itasaidia viongozi wengi kukwapua fedha za wananchi walisaidia na hazina Kwa Sababu mfumo hautaruhusu kulipwa malipo ya Aina moja mara mbili Kwa siku moja.
Taasisi nyingi za serikali wanazolipwa fedha billions za OC ni wale Tu wanaofahamu utaratibu wa mgao. Na hii ndiyo umepelekea Ofisi nyingi za umma magari yamekufa, mifumo ya komputa imekufa, maji hakuna, umeme sometimes unanunuliwa Kwa matukio maalum, furniture hakuna NK Si kwamba hakuna fedha Ila fedha za OC serikali zimekosa udhibiti.
Endapo Katibu Mkuu mpya atafanya udhibiti wa fedha za OC zikaombwa na kulipwa kupitia akaunti viongozi watakosa mwanya wakujiandikia fedha zote za taasisi Kwa Sababu mfumo utakuwa unakataa kuruhusu malipo na hivyo Kwa kuwa fedha hizo zitakuwa zinagoma kulipika cash basi atalipwa Yule Tu mwenye uthibitisho.