Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

Anafaa Sana kugombea urais Kwa ticket ya ACT wazalendo!!

Katika mbinu ya ccm kugawa kura za Kanda ya ziwa kama mama akiwa mgombea was CCM!!

Ni good strategic move ya ccm kama wakiitumia vizuri!!
 
Bashiru Ally hajawahi kuwa na ushawishi wowote hata kwenye chama chake cha zamani CUF
Wewe huna akili! DK Bashiru hajawahi kuwa Cuf! Kama una ushahidi weka hapa kuonyesha usahihi wa mawazo yako.

Kuhusu ushawishi Dk Bashiru ana ushawishi mkubwa sana kwa wazalendo wachache waliopo nchi hii, ni muaminifu na muadilifu asie na mfano.

Hajawahi kumiliki mali za utapeli au kufanya siasa za kutafuta riziki kama walivyo wanasiasa wengi ndani ya ccm na upinzani kama Mbowe,zito kabwe,halima mdee! Gwajima, nyarandu,Lema, sugu, Makamba,Nape, na watafuta riziki wengine.
 
View: https://youtu.be/xSE9FSuung0?si=08F85Uh5E28kwzel
 
Tambua alikua karibu mkuu kiongozi huyo,unadhani ana njaa?
Katibu mkuu kiongozi alikuwa kwa mwezi mmoja tu. Sema huyo ni mmoja wa wafaidika wa genge la Magufuli walipokuwa wanapora pesa za wafanyabiashara.
 
Anafaa Sana kugombea urais Kwa ticket ya ACT wazalendo!!

Katika mbinu ya ccm kugawa kura za Kanda ya ziwa kama mama akiwa mgombea was CCM!!

Ni good strategic move ya ccm kama wakiitumia vizuri!!
DK Bashiru sio mpumbavu kama unavyofikilia! Ni mtu muaminifu kwa nchi yake! Hana upumbavu wa kufanya siasa za kufurahisha watu.

Kwake yeye siasa sio ajira,wala hajawahi kuwa mwanasiasa bali ni mtendaji na msomi ambae aliombwa na JPM kumsaidia majukumu ya kutumikia taifa,na JPM alimchagua kutokana na uadilifu wake.

Muda wake ukifika wa ubunge atapumzika na kuendelea na majukumu yake hatapoteza hata sekunde moja.
 
inasikitisha sana, inahuzunisha sana. Imekaa kinyonge sana, yaa asie na umuhimu pahali na asiehitajika mahali fulani lakini anaheshimika, akiondoka mwenyewe pekeyake inatia hofu uhai wake kisiasa...
 
Katibu mkuu kiongozi alikuwa kwa mwezi mmoja tu. Sema huyo ni mmoja wa wafaidika wa genge la Magufuli walipokuwa wanapora pesa za wafanyabiashara.
Sasa hujui kwakua katibu mkuu kiongozi,inamaana mshahara wake bado upo?
Unadhani ana njaa?
 
Aende tu huyo ACT bila kuchelewa. Bila Magufuli asingefika hapo alipofika.
Labda kwa vile yeye alitokea CUF,na ACT inahodhiwa na waliokuwa wanachama wa CUF lakini yeye Bashiru itamsaidia nini CUF kwa sasa,bora ale tu mshahara na posho za ubunge hadi 2025.
 
Atakuwa mjinga akifanya hayo

Maana pale alipo analipwa fedha kama;
Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu
Katibu Mkuu wa CCM mstaafu
 
Kaa kimya hujui kitu, au mpigie Bashiru akuambie uhusika wake CUF. Hakuwa mwizi Kabla ya kupata madaraka, alipopata ndio tulishudia siasa za kishenzi za kuunga juhudi, na pale ndio hela chafu alizichota.
 
Huna unachojua kumhusu DK Bashiru! Nimekwambia weka ushahidi hapa kuonyesha kuwa haliwahi kuwa Cuf! Unalia lia tu!
Ulivyo hujui lolote unafikili DK Bashiru ndio alikuwa anawanunua hao Malaya wa kisiasa!
Dk slaa nae alinunuliwa na DK Bashiru?
 
Umekuwa profeki toka lini bosi? Nayule polepole jee? Plofesaiii da-diii 🤣
 
Kwani ni Islamic?
 
Katibu mkuu kiongozi alikuwa kwa mwezi mmoja tu. Sema huyo ni mmoja wa wafaidika wa genge la Magufuli walipokuwa wanapora pesa za wafanyabiashara.
Huyu na Polepole walitajirika sana katika ule mradi haramu wa kununua wapinzani uchwara. Walikuwa wanaweka cha juu wakati mwingine mara mbili ya kile alicholipwa mpinzani uchwara. Magufuli alikuwa na mabilioni aliyokuwa anapora kwenye plea bargain, alikuwa anachota tu ili mradi kuikomoa Chadema. Magufuli alikuwa mpumbavu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…