Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

Wao ACT siwalimpinga JPM sasa wameanza kuokoteza watu wa JPM [emoji16][emoji16][emoji16] tuliwaambia kuwa jpm ni jiwe haswa wakabisha ....zuzu zitto anasemaje....?
Nawewe unaamini story za vijiwe vya kahawa? Aliyeturoga watanzania alituweza sana. Hata kureason kidogo tu hakuna?
 
Sasa hujui kwakua katibu mkuu kiongozi,inamaana mshahara wake bado upo?
Unadhani ana njaa?
Kwani mshahara ndio unaleta utajiri au deal akiwa kwenye hicho cheo?
 
Huna unachojua kumhusu DK Bashiru! Nimekwambia weka ushahidi hapa kuonyesha kuwa haliwahi kuwa Cuf! Unalia lia tu!
Ulivyo hujui lolote unafikili DK Bashiru ndio alikuwa anawanunua hao Malaya wa kisiasa!
Dk slaa nae alinunuliwa na DK Bashiru?
Wakati Slaa anatoka cdm, Bashiru alikuwa ccm? Nani aliwanunua hao Malaya wa kisiasa, ama hujui wakati huo alikuwa katibu mkuu wa ccm. Nikupe ushahidi gani, ama Mimi ni ofisi ya CUF hivyo Nina daftari la waliokuwa wanachama wake?
 
Exactly.
 
Content na kilichomo vitu viwili tofauti

Bashiru Ali kutimkia ACT
Bashiru Ali ana mipango ya kutimkia ACT
 
YAAANI HUKO NDIYO ANAENDA KUUZA UHURU WAKE KABISA BORA ANGEBAKI NA UBUNGE WA KUTEULIWA HUKO ANAPOTEA KABISA
 
Katibu mkuu mstaafu ana stahiki zipi na kitita chake cha pension kikoje?
 
Kwani mshahara ndio unaleta utajiri au deal akiwa kwenye hicho cheo?
Zingatia neno NJAA.Huyo Hana njaa,labda kama ana ndoto zakua TAJIRI kama ambao unahisi wako kwenye madaraka na wana huo utajiri.
 
Nape aliiba mali gani?? Mmekalia kuchafua watu mbona hajafungwa jela kama aliiba!!?!!
Mnatetea wahuni wanaoshindwa kuheshimu sheria.
Bashiru hafai hata ukatibu kata
 
Unamjua vizuri uliyomtaja? Mama yako anamjua kwanza anajua kujenga hoja, alipiga moja tu siku walipomualika wakulima, uliona matokeo?
 
Zingatia neno NJAA.Huyo Hana njaa,labda kama ana ndoto zakua TAJIRI kama ambao unahisi wako kwenye madaraka na wana huo utajiri.
Anaweza kuwa Hana njaa, ila Hana kiasi. Kwani hao wezi wengine huko serekalini wana njaa, au ni tamaa ya mali?
 
Unamjua vizuri uliyomtaja? Mama yako anamjua kwanza anajua kujenga hoja, alipiga moja tu siku walipomualika wakulima, uliona matokeo?
Siku ya wakulima hakuwa anajenga hoja, bali alikuwa analeta nongwa. Enzi zake na Magufuli Kila hoja iliyokuwa inatolewa ya aina hiyo walikuwa wanaita uchochezi. Usitake kuturudisha nyuma kwa huyo tapeli tukikumbuka siasa zao za kihayawani.
 
Acha tabia mbaya ya kuwazushia watu uongo. Unafikiri ni rahisi kiasi hicho mtu atoke ccm anakoshiba na kusaza, pasipo kulima; halafu aje huko ACT Wazalendo kula kwa jasho?

Waulize kwanza makada wote waliotoka huko ccm, na kukimbilia upinzani kwa mihemko; na baadaye kurejea tena kwa aibu kwenye hicho chama chao cha upigaji!
 
Hizi ni dalili za kukosa kazi, unapuyanga tu kwenye simu kwa kuwa una bando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…