Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

Kwani kuna mbuge hana gari? Au hujui kama ni mbunge?
 
Hata iwapo ataelekea tlp hana athari kwa yeyote🤓
 
Hakuna sababu ya kumtukana mtu kuwa hana akili kwa sababu tu kasema Bashiru alikuwa CUF. Kwa taarifa yako ni kweli Bashiru alikuwa mwanachama wa CUF ni kwa vile tu hakutaka nafasi ya uongozi alijikita kwenye taaluma yake akiwa mhadhiri hapo mlimani. Kuna wakati Magufuli mwenyewe alikiri kuwa ni kweli Bashiru alikuwa mwana CUF lakini kwa sasa ni mwana CCM.
 
"baada ya kuwekeza Zanzibar kwa muda mrefu" mkuu, kiliwekeza zanzibar au kilinufaika na u... wa lipumba kuivuruga cuf.
 
Kiapo chake hakimruhusu isipokuwa ni kwa kazi maalumu
 
Jingaa wee, Mh Bashiru, ni mzalendo , hajawahi kuhitaj Maisha ya Anasa.
 
Unazeeka mzee mwenzangu,dalili zako za uzee na Mimi ninazo..mzima lakini!!?
 
Ataungana na kina Lisu 🤪🤪

View: https://www.instagram.com/p/C4gFeL6qfc3/?igsh=bnkzZndjeXR1bG1p
 
Bilashaka ipo kwenye mkataba wa yeye na mwajiri.Ila ana stahki zake ambazo analipwa hadi leo.
Ukisema bila shaka ina maana hauna uhakika. Ukisema ana stahiki ina maana una uhakika. Hapa nielewe lipi?
 
Haiwezi tokea,na ubunge anaanzia wapi kuuacha?
 
DK Bashiru hajawahi kumiliki kadi ya Cuf wala JPM hakusema kuwa DK ni Cuf! Bali alisema wakati anamchagua DK Bashiru kuwa katibu mkuu wambea walimwambia kuwa uyo mtu ni Cuf.

Taasisi ya urais ina vyombo vingi vya uchunguzi isingekuwa suala rahisi JPM ateue mtu kutoka Cuf awe GC wa chama.
tunaomjua DK Bashiru vizuri hajawahi kuwa Cuf.

Safari ya kisiasa ya DK Bashiru ilianzia mwaka 1995 alipokuwa katibu wa mbunge wa Bukoba vijijini wa wakati huo Marehemu Sebastian kinyondo.

Alipoachia nafasi hio hajawahi kuwa mwanachama wa chama chochote cha upinzani, bali vyama mbalimbali vilikuwa vinamtumia kwa tafiti za kisiasa.

Mara kadhaa alipokuwa hapa udsm ameitwa na kamati kuu ya ccm kutoa mada za kitaalamu kuhusu mwenendo wa siasa hapa nchini. Kama mtaalamu asiefungana na upande wowote kwa wakati huo.
 
Chai ya rangi
 
Siku ya wakulima hakuwa anajenga hoja, bali alikuwa analeta nongwa. Enzi zake na Magufuli Kila hoja iliyokuwa inatolewa ya aina hiyo walikuwa wanaita uchochezi. Usitake kuturudisha nyuma kwa huyo tapeli tukikumbuka siasa zao za kihayawani.
Hafai hata kidogo huyu enzi za utawala wao binadam walitoweka kimiili bila kujulikana alafu wanamsifua huku gaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…