Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Mkuu Samweli alimkemea Sauli.Nabii Nathani alimkemea Mfalme Daudi waziwazi, Samuel pia alimkea suleimani, Yohane Mbatizaji alimkemea Herode. Hii ni sauti ya kinabii.
Maaskofu wanaendeleza kazi ileile ya kinabii kwasababu ndani mwao kubawaka moto wakinabii.
Ukweli unauma sana nikuuvumilia tu.
Exactly 💯Mkuu Samweli alimkemea Sauli.
Samweli alimekemea Daudi sababu alikuwa ndiye alimuweka madarakani na kumfanya mfalme na sababu ndie alikuwa mkuu wake wa kidiniMkuu Samweli alimkemea Sauli.
Haahaha Shotocan😀😀Samweli alimekemea Daudi sababu alikuwa ndiye alimuweka madarakani kwa na kumfanya mfalme na sabsbu ndie alikuwa mkuu wake wa kidini
Sababu Israel ilikuwa na dini moja tu na kiongoxi wa kidini alikuwa mmoja tu Samweli
Sasa nchi kama Tanzania ina dini kibao ,kiongozi hapewi madaraka na kiongozi wa kidini na serikali inatamka wazi haina dini kwenye katiba halafu wewe kiongozi wa kidini unajilinganisha na Samweli? Ni.kujitutumua hewa tu.Kiongozi wa kidini naye aonekane yupo hewani
Samweli sio saizi yao Mazingira yako tofauti mno.Kuwa ooh nakemea kama Samweli
Kama wewe hutaki kwenda kusali kanisani hakuna atakaye kulazimisha.Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
kwani wanachohubiri kina ugumu gani wa kukitelekeza si nao ni wananchiHakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Dunia ina watu na viatu.Kama wewe hutaki kwenda kanisani hakuna atakaye kulazimisha.
Umeulizwa kukemea wezi wa kura ni kosa? au kwa vile wao wanaiba kura sio wezi.
Hata haueleweki hoja yako ni nini? Unachanganya mamboYeye hakutumwa hayo unajua kilichomkuta ? Alitorokea porini na kuacha unabii kabisa baadavya Jezebeeli kutangaza kuwa atamuuua na akagoma kuendelea kuwa nabii akamwambia Mungu hataki tena
Mungu akasema sawa kakabidhi kazi kwa Elisha wewe ondoka duniani tena haraka akapaa mbio
Yohana Mbatizaji pia alitumwa kuhubiri ubatizo uletao toba akaacha hilo lake alilopewa na Mungu akaenda kwenye kukemea wanasiasa akeanda kumkemea mwanasiasa Herode
Na Herode akamuua kwa kumkata kichwa
Kuna red line kati ya Kanisa na siasa ambayo kila upande unahitaji kubaki kwenye line yake
Manabii wana ruka ruka na kuvuka mstari ni at their own risk .Ulinzi wa Mungu huwa hauko guaranteed huko wanakorukia nje ya mipaka ya wito
Zamani mapdre walikuwa watu wa kushinda sehemu za upweke na kwenye monastery wakisali sana na kufanya kazi huko huko maeneo ya kanisani walipo ukiwaona mtaani wana kanzu zao wanaenda kuzika au kumpa mtu mpako wa wagonjwa basi tena hawi peke yake.Kaongozana na watumishi wa kanisa.Walikuwa na utisho wa kuheshimika hasa.Ukimuona padre mtaani ni kama umeona mungu.Akisema kitu watu wanatii tena kwa unyenyekevu mkubwa
Sasa hivi mapadre wamezagaa mitaani kwenye mabaa,ma guest house na kwenye vijiwe vya umbeya wa siasa nk wakisikiliza ya vijiweni mitaani wapate vya kuhubiri kanisani huku wakiwa wamevaa kiraia tu sio kanzu wala na misalaba tena..
Mapadre hawafugiki misheni aunjwenye parokia wamekuwa kama kuku wa kienyeji wanazurura hovyo mitaani na vijiweni .Nao hao ndio wanakuwa maaskofu inatisha
Heshima haipo tena wanabezwa ns wsumini hadi kwenye vigango na jumuiya
Padre anaonekana ni msela tu ambaye kachagua tu njia ya kupata riziki ni kupitia upadre lakini si anaonekana wa heshima kivile kama wa zamani
Kanisa lijitathmini.Hixi sauti za watu kutaka kanisa likae mbali na siasa zina hoja
"You are totally Ignorant of the Scripture"Samweli alimekemea Daudi sababu alikuwa ndiye alimuweka madarakani na kumfanya mfalme na sababu ndie alikuwa mkuu wake wa kidini
Sababu Israel ilikuwa na dini moja tu na kiongozi wa kidini alikuwa mmoja tu Samweli
Sasa nchi kama Tanzania ina dini kibao ,kiongozi hapewi madaraka na kiongozi wa kidini na serikali inatamka wazi haina dini kwenye katiba halafu wewe kiongozi wa kidini unajilinganisha na Samweli? Ni.kujitutumua hewa tu.Kiongozi wa kidini naye aonekane yupo hewani
Samweli sio saizi yao Mazingira yako tofauti mno.Kuwa ooh nakemea kama Samweli
Wee kenge imekuuma ee? Acheni ukweli usemwe hata kama ninyi mnafaidi mfumo uliopo, ni mfumo ovu huu.Hakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Kama hawajui kazi ya utume unataka nani awafundishe acha wakae na woga wao wale wanaojua kazi ya utume waachwe waseme.Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.
Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Huo ufisasi ushahidi unao!!!Makanisani kuna ufisadi mkubwa tu. Kanisa linashindwa kumaliziwa kwa miaka mitano na zaidi na waumini kwa sababu ya kutoruhusiwa kuhoji wanasali wakiwa wamenuna.
Hizo kamati za ujenzi za makanisa zimejaa wezi wa kwenye mashirika ya umma na taasisi za kiserikali wanahamisha wizi ule ule kwenye nyumba za ibada.
Siyo kweli Padre Kitima kipindi cha Magufuri alikuwa mwiba mkali, Askofu Niwemugizi wa jimbo la Rulenge alikuwa mwiba Kwa magufuri alifikia hatua akaitwa kuhojiwa uraia wake.Vipindi vyote vya utawala wa wakatoliki wenzao hawajawahi kukemea lolote kwa nguvu hivi Wala kutoa kauli za kimamlaka, "Waachiwe mara Moja na bila masharti". UNAFIKI MTUPU.
Mungu humlinda anayefitiniwa!!!
Siku zote na waambiaga watu, "Ukiwa mjinga jitahidi watu wasijue kama wewe ni mjinga" ila hawataki kusikiaHakuna maana ya kwenda kusali kanisani kama madhabahu zinakuwa tu mwangwi au kasuku wa kurudia sauti ya yale yanayosemwa nje ya kanisa
Mfano nje ya Kanisa Lisu anasema no reform no election na unaenda kanisani unasikia mwangwi au marufio ya sauti ileile ya no reform no election.
Si bora tu mtu usiende kanisani sababu hakuna jipya kanisani.
Ukishasikiliza Tundu Lisu basi huna haja tena kwenda kanisani kusikiliza yaleyale ni kupotezeana muda
Wanaosema kanisa liachane na matamko ya kisiasa wana hoja
Je lengo la kanisa duniani ni kuwa kasuku wa kurudia rudia kusema yake wanasiasa wanasema ? Ndilo agizo la Mungu kwa kanisa? Kuwa enendeni ulimwenguni mkawe kasuku wa kuhubiri yale wanasiasa wanahubiri?
Anasema hawapangiwi cha kuhubiri ,kuhubiri yale yale yaliyosemwa na wanasiasa sio kupangiwa huko? Wanakuwa hawana independent mind.
Wanasubiri homilia au mahubiri yaandaliwe na wanasiasa halafu wao wakayarudie kanisani
Kifupi kanisa limeishiwa homilia au mahubiri
Kabla kuhubiri wanatega masikio kudikiliza wanasiasa wanasemaje ili wapate cha kurudia kuhubiri ibadani
Badala ya kuanza kwa kusema leo tutazungumzia injili kama ilivyoandikwa na mtakatifu fulani wanaanza leo tutazunguza habari kama ilivyoongelewa na Tundu Lisu na CHADEMA ya no reform no election
Wapinga mahubiri ya siasa kanisani wana hoja
Chagua father wako.Huyu ni father wa hovyo tu. Hana lolote.
Acha uongo.Huyu ni kampeni meneja wa Lissu katika uchaguzi wa 2020 ni mwanasiasa kamili nyuma ya pazia tofauti na baadhi ya maaskofu wanaoanza na kumaliza siasa zao juu ya mimbari siku za Jumapili.
Lazima awe na donge kwa kuzingatia ukweli kwamba DP World anafanya kazi pale bandarini tena kwa ufanisi uliotarajiwa tofauti na fitina aliyotusambazia makanisani kuupinga uwekezaji wake.
Niliishachagua zamani sana.Chagua father wako.