Hatima take ni ipi mwisho wa siku. Kuna hatari ya kudumbukia kwenye machafuko uko mbeleni ukiipuza sauti ya wengi. Ambayo ndio msingi wa demokrasia, " nothing is good or is bad as it's look" wao wametimiza wajibu wao wa msingi kusema hali si swali. Chaajabu serikali na propaganda mashine zake inalifanya swala la udini na kuongeza zaidi tafurani kwa jamiiWatasema kuwafurahisha maana ndicho makamanda wanapenda mwisho wa siku hata yeye kura atapiga mahesabu na majumuisho ccm kashinda kwhiyoooo tumeibiwa anaitwa kusoma maombi ya kumuapisha raisi ngonjera zake zimekwisha maisha yanaendelea...
Hoja zimekuishia unaanza vihoja.Halafu mtu anaitwaje Father Kitima wakati hana mtoto?
Mtoa roho hawezi kuelewa!Hawana njaa wanafanya kazi gan?
Acha upumbavu
Wao wanatimiza wajibu wao hata wakati wa Magufuli walimuonya hivi hivi.Watasema kuwafurahisha maana ndicho makamanda wanapenda mwisho wa siku hata yeye kura atapiga mahesabu na majumuisho ccm kashinda kwhiyoooo tumeibiwa anaitwa kusoma maombi ya kumuapisha raisi ngonjera zake zimekwisha maisha yanaendelea...
Nimependa Sana Jamaa wako very straightforward, CCM ACHENI KUIBA KURANabii Nathani alimkemea Mfalme Daudi waziwazi, Samuel pia alimkea Mfalme Sauli, Yohane Mbatizaji alimkemea Herode. Hii ni sauti ya kinabii.
Maaskofu wanaendeleza kazi ileile ya kinabii kwasababu ndani mwao kunawaka moto wakinabii.
Ukweli unauma sana nikuuvumilia tu.
Mimi mkatoliki mwenzako nachokisema kinatokana na uzoefu halisi sio maneno yenye kufanana na njozi za mchana.huo ufisadi nani alichunguza? Unapoongelea kanisa ku dhehebu, kila dheheb lina waumini wake, na waumini ni uti wa mgongo wa kanisa husika
So far kwa experience yangu, hakuna taasis imenyooka kama catholic, ndio wenye miradi mingi kuliko hata taasis nyingine ya kidini, form shule, vyuo, hospitali. Kama wangekuwa na usimamizi mbovu sidhan kama wangekuwa hapo walipo
Kuna chombo chochote kilichowahi kuchunguza hizo tuhuma za ufisadi?
Huo ndio ukweli. Ni juu yako kukubaliana nao au kupingana naoAcha uongo.
Malasusa anatoka familia ya viongozi wa dini sana.Baba yake Mzazi aliheshimika mno akiwa mchungaji .Aliongezewa miaka hadi akasema basi sitaki tena mwenyeweWao walijua wakimshika malasusa wanakua wameikamata TEC nzima
Huo ishahidi uko wapi brother, chombo gani kimehudishwa au kili huishwa na wakakuta madudu? Maneno peke yake not enough broMimi mkatoliki mwenzako nachokisema kinatokana na uzoefu halisi sio maneno yenye kufanana na njozi za mchana.
Ushahidi upo tena mwingi tu. Mungu anampokea mkosaji wa aina yoyote sawa na ile simulizi ya Baba kumpokea mwanae aliyetapanya mali katika ulimwengu wa starehe.
Yanafanyika mengi hapa TZ nani anayesumbuka kuyaripoti?. Kanisa letu hapa hapa Mbezi Beach linashindwa kumalizika kwa sababu aliyekuwa paroko akishirikiana na mwenyekitti wa parokia walicheza mchezo na wakaiba juu kwa juu pesa ya manunuzi ya eneo la kuongezewa katika parokia ambalo lipo pembeni ya barabara.Huo ufisasi ushahidi unao!!!
Kuna taasisi za kupambana na ufisadi, uliwahi report!!?
Kama una ushahidi wa wizi kwenye nyumba ya ibada unayoabudu, umechukua hatua gani!!??
Kwanini wasisiachie Mahakama zikafanya kazi zao? Au wakati Tundu anasema ataanziasha UASI kukinukisha ili kuzuia uchaguzi mkuu wa Oktoba 2025, Fr Charles Kitima na TEC walichukua hatua gani kumkemea?Kutoa zaka na sadaka hakukufanyi kuwa mkatoliki kindaki ndaki bwana, wangapi wanatoa zaka na sadaka kubwa tu tena wahudhuruhaji wazuri jumuia, kila event za kanisa yet hawajiiti kindaki ndaki?
Kazi koja wapo ya kanisa la kristo ni kukumea mauvu kwenye jamii, Bwana wetu yesu kristu alifanya hivyo, mitume wake walifanya hivyo, na miaka kwa miaka, ww ni nani kushambulia established society kama catholic ?
Sio ubishi naongelea kitu ninachokifahamu na kipo katika makanisa yetu. Waumini ni wale wale binadamu ambao wanapokuwa kwenye shughuli zingine wanaendeleza uchafu ule ule.Mkuu fanyia kazi hoja wa Watumishi acha ubishi
Father huyu analitia doa kanisa katoliki kwa kujiingiza kwenye siasa akiwa tayari ameshakuwa na upande wake. Maamuzi anayoyafanya yanawakwaza waumini wasiokuwa upande wa TAL sawa na ile barua ya kumpinga DP World iliyosambazwa makanisani ili asifanye biashara pale bandarini.Kwanini wasisiachie Mahakama zikafanya kazi zao? Au wakati Tundu anasema ataanziasha UASI kukinukisha ili kuzuia uchaguzi mkuu wa Octo 2025, Fr Charles Kitima na TEC walichukua hatua gani kumkemea?
Yasemekana ni cousin brother na Tundu, kwa hiyo kila anachofanya anawakilisha mawazo ya TunduFather huyu analitia doa kanisa katoliki kwa kujiingiza kwenye siasa akiwa tayari ameshakuwa na upande wake. Maamuzi anayoyafanya yanawakwaza waumini wasiokuwa upande wa TAL sawa na ile barua ya kumpinga DP World iliyosambazwa makanisani ili asifanye biashara pale bandarini.
Huwezi kuweka ushahidi humu JF ukiwa na umri mkubwa haukumbilii tu kupeleka ushahidi panapohusika., Kuna upigaji makanisani na haukuanza leo wala jana, elewa hivyo.Huo ishahidi uko wapi brother, chombo gani kimehudishwa au kili huishwa na wakakuta madudu? Maneno peke yake not enough bro
Usalama wa taifa umeshamgundua kitambo unaishi nae kwa kumstahi tu.Yasemekana ni cousin brother na Tundu, kwa hiyo kila anachofanya anawakilisha mawazo ya Tundu
Wapi tundu lissu alisema ataanzisha UASI? i mean from video zote zile wapi alisema?Kwanini wasisiachie Mahakama zikafanya kazi zao? Au wakati Tundu anasema ataanziasha UASI kukinukisha ili kuzuia uchaguzi mkuu wa Octo 2025, Fr Charles Kitima na TEC walichukua hatua gani kumkemea?