PreGE2025 Katibu Mkuu TEC, Rev Dkt. Charles Kitima: Wasitupangie cha Kusema

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Kutoripoti uhalifu ni uzwazwa wa hali ya juu.
Kutopigia kelele uovu eti kwa kuwa hakuna hatua zinazochukuliwa ni upofu wa akili.
Mimi niliacha kusali Cathedral ya KKKT - Dodoma sababu ya upuuzi wa Mwamasika, hapo ni baada ya kupigania sana upuuzi uachwe na kuona unaendelea.
 
Hawana hoja hao wanaopinga viongozi wa dining!
Father yupo sahihi kabisaa
 
Hakuna padri lofa wala mjinga, huwezi kuwekwa wakfu km huna degree, haya ndo mazao bora ya Seminaries schools,

Pigeni hapo hapo watumishi wa Bwana.
 


Wakati viongozi wa dini 1wmakemea uovu ni vema wanachama wa Chadema 1alioonewa na damu zao kumwagwa nao wasibweteke. Haya majitu ya CCM ni mashirikina sana . Dawa ya Moto ni moto. Ushirikina siku zote unagonga mwamba kwenye haki ya damu ya mtu na badala yake kombora hugeuzwa na kummaliza aliyedhulumu .

Mkiwachekea na kusema kuwa udaktari wa asili ni uchawi mjue kabisa hawa CCM bado kabisa hawajanywa damu za watu.

Samia ni zao la Kizanzibar asili ya KiOman mjukuu wa Sultani . Ile roho ya Sultani iko ndani yake na inalipa ubaya kwa wataganyika maana alishuhudia miaka 24 uliyopita jinsi Wapemba walivyouawa na CCM waliyokua wanaiita ni Chama cha wakristo chenye mfumo kristo . Yaani Wazanzibari chini ya CUF walisema kuwa Kirefu cha CCM ni Christian Council Motion .

Kwa hiyo nyuma yake kuna msukumo mkubwa wa kidini ndio maana anawaona maaskofu kama wabangaizaji tu wasiomshughulisha kwa chochote na amesahau kubwa CCM ilikua ikituhumiwa na wazanzibari wenye asili ya Oman kuwa ni Chama cha Kikristo na kilitawala kwa sheria zisizo za haki sawa kwa wote .

Leo wale wale Waliokua wanaituhumu CCM na serikali yake kuwa inawaonea wazanzibari na Chama chako Cha CUF ,Wanashikilia mpini na wametafuta wa kumrushia mzigo wa lawama na sasa wanasema Chasema ni Chama cha Wakristo bila kusema kuwa kumbe Kusema watawala wafuate sheria kwa haki ni Ukristo na kumbe waliowaua Wazanzibari mwaka 2001 walikua ni Chadema na sio seikali ya CCM?

Kwa nini Samia aliyeshuhudia ndugu zake wakiuawa kule Zanzibar kwa sababu ya sheria mbovu za uchaguzi asibadili zile sheria ili kuzuia kabisa yaliyojitokeza Zanzibar yasitokee tena Nchini ?
Au ndio analipiza kisasi kwa hasira na kuona acha hawa watanganyika nao wauawe tu maana Wazanzibari nao waliuawa .
 
Hakuna Padre mjinga
Mafather wote asilimia kubwa wanajitambua na hawana njaa za kijinga.

Mola awatunze wazidi kusema iliyo kweli.
..CDM ni wanakondoo wake, Padre mzima anapambana na politics badala ya kuwa msuluhishi wa migogoro, RC ni kanisa lenye viongozi wasioijua Theology ingawa wamesomea, ndya maana anaona sifa kupambana na KAIZARI
 
Nafikiri kwenye Dini kukemea Uovu hakuna mpika toka miaka na miaka Toka Enzi za Mnabii na Mitume wamekua wanakemea sana watawala
 
Wahamasishe waumini wao kuhusu no reform no election.
Kanisa moja takatifu la mitume wakiimba no reform no election tumemaliza.
 
Hawana lolote tunawajua hao tatizo ni kiti cha uraisi ukabila na udini unawasumbua...
 
Jamii isiyo heshimu utaratibu iliyojiwekea basi tegemea jamii hiyo kua itapata misukosuko isiyo ya lazma. Hivi leo waumi wa Roman Catholic wakisema kanisa na viongozi wasitupangia ndoa ,wasitupangie jinsi ya kushiriki nk. Nini kitatokea
 
Wahamasishe waumini wao kuhusu no reform no election.
Kanisa moja takatifu la mitume wakiimba no reform no election tumemaliza.
Pia wasajiri kama chama cha Siasa yaani TEC PARTY
 
Msikie Tundu hapa:-


View: https://youtu.be/2w61gYZhOxE?si=FguSCHCF4s6NvgRn
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…