Katibu Mkuu TFF na Msemaji wa Yanga warushiana maneno mazito na ya kashfa Clouds fm

huyu jamaa nimemsikiliza leo clouds nimeshindwa kumuelewa kabisa.......shafii anajaribu kumuelekeza na kumtuliza lakini jamaa daah munkari ipo juu anajifanya mjuaji sana hadi kero yaani

Mkuu leo nimejifunza kitu kwa Watanzania na hakika bado tuna safari ndefu kufika tu hata robo tatu ya waliotuzidi akina Kenya, Uganda na Rwanda hasa hasa katika nyanja nzima ya KIFIKRA na kujua KUFIKIRI kama siyo kujenga HOJA.
 
Usitoe habari ili watu wakushangae wew mtoa habari jitahidi watu washangae habari yenyewe.unaongea vitu ambavyo avipimiki unajua kuna maneno ukiyatamka sehemu watu wanapima na kujua namna gani ulivokuwa waki.wewe unahisi shafii au clouds wanajua nini cha kusema leo kila wanalosema uliamini.na pia mtu anatoa clip ya uyo jamaa ili watu wafanyaje sasa unajua usiwajenge fikra watu kwa mambo ya kubuni
 

Nafikiri Mwesiga ametunza heshima yake kwa kuzungumzia the issue on hand sio Muro ambaye mihemuko imemtoa kwenye mada, ameuvaa mtego wa Mwesiga akahama dira, mpaka anatukana shule zetu eti za manzese, mdharau kwao si muungwana!
 

AVATAR yako tu pekee ina akisi kilichokutawala katika Ubongo wako hasa ikijulikana hasa kuwa huyo Mwenye hiyo picha hapo katika AVATAR alikuwa ni " mdau " mkubwa wa nini. Nina hakika haya " mapovu " yako yanatokana na moshi unaofukuta sana katika mbichwa wako. Pole sana Mkuu!
 
Naamini wewe ni mtoto, au ni mkubwa mwenye akili za kitoto

Mambo ya kupokewa manara kama mfalme , memo walizo pokea watangazaji hazija justfy ulicho kiandika
Na kina zdi kuonesha chuki yako dhidi ya Muro

Siyo kila mtu unadhani yuko shule, tabia yako ya maisha ya kidhahania ndo inaharibu mpaka hoja zako ambazo unadhani ni za msingi
 
Unazidisha uongo, Trump huwa hatukani wa Afrika

You know nothing unaishi kwa mizuka sana
Punguzaa mkuu, halaf always unajiona uko sawa, tatizo hilo
 
Mkuu leo nimejifunza kitu kwa Watanzania na hakika bado tuna safari ndefu kufika tu hata robo tatu ya waliotuzidi akina Kenya, Uganda na Rwanda hasa hasa katika nyanja nzima ya KIFIKRA na kujua KUFIKIRI kama siyo kujenga HOJA.
Mkuu kama wewe unajiona ndo unajua kufikiri, kweli Tanzania tuna ttzo
 

Naona unazidi tu kunipa UMAARUFU. Keep it up!
 
Unazidisha uongo, Trump huwa hatukani wa Afrika

You know nothing unaishi kwa mizuka sana
Punguzaa mkuu, halaf always unajiona uko sawa, tatizo hilo

Kukataa kwako tu kuwa Donald Trump hajawatukana Waafrika ndiko kunazidi tu sasa kunionyesha ni jinsi gani ulivyo absolutely pathetic dull. Kuhusu kujiona niko sawa wala hujakosea Mkuu kwani katika vitu ambavyo vinanipa JEURI na NYODO ni IQ yangu iliyo very extraordinary ambayo nahisi ungebahatika hata tu kuwa nayo theluthi ungemshukuru Mwenyezi Mungu ila yawezekana Mwenyezi Mungu alikuwa na makusudi yake kukuumba kuwa typical lumpen proletariat.
 
Na labda ukishamjua umasikini wako wa akili na mali ndiyo utakwisha au?
Ulinijibu vizuri umeharibu hapo nilipoquote.Neno la hovyo la kukujibu lipo lakini ntakutunzia heshima yako.
Nilivyo uliza kama hii article muandishi anaweza kua Manara,sababu kubwa ni kwa namna ulivyo conclude kishabiki.Na kutueleza mambo ya uongo likiwemo la mate kujaa kwenye microphones za Clouds.
Wengi wamekuelewa nia yako njema but wakawa disappointed na the way ulivyo malizia kwa kuonyesha chuki za wazi kwa bwana Muro.
Word of advice son,no matter how rich your mind is,your assets are don't disrespect no man.
 

Kwani ungemalizia tu kwa Kiswahili nisingejua kuwa na Wewe ni Msomi wa hako Ka degree kako ka " Manzese " alikosema Muro?
 
Ni heri nife kuliko niwe na akili kama zako
Wewe ni conspiracy theorist huna chochote cha maana

Una attack wenzio kwa kujihisi uko perfect wakat, na ww una mambo yako ya ajabi yanayo jionesha humo humo

Donald hajawahi kuwasema waafrika , tena in the sense ambayo kawasema alaf wewe utumie usemi wake huku, wewe huna elim yyte ya uandish wa habari kwa mtindo huo, una claim tuu
 
Mkuu kama Wewe unaona sijui kufikiri kweli UKOO wako una matatizo sugu.
Huna haja ya ku attack ukoo wangu, wewe mi nahis una mattzo wewe mwnyewe na unadhan ukiandka vitu vyako usikosolewe
Na ukiandka ujinga tena nakuchana vile vile
Umepotoka kwa hilo mkuu
 

Hebu tulia jifunze kuandika basi kwani unaandika hovyo halafu ningeshauri kama unapenda kutumia Kiingereza basi " tiririka " kwa Kiingereza na kama unapenda Kiswahili basi endelea na Kiswahili kwani kuna UTAFITI uliofanyika uliobaini kuwa Wanaume wengi wenye kupenda sana kuandika andika kwa kuweka maneno ya Kiingereza ni members wazuri sana wa kwa " Magomeni mapipa kwa Macheni " hivyo sitaki kuamini kuwa na Wewe ni mmoja wapo na sasa unawawakilisha humu akina " miba mchicha " wenzio.
 
Huna haja ya ku attack ukoo wangu, wewe mi nahis una mattzo wewe mwnyewe na unadhan ukiandka vitu vyako usikosolewe
Na ukiandka ujinga tena nakuchana vile vile
Umepotoka kwa hilo mkuu

Bora Mimi mwenye ujinga vipi kwa Wewe mwenye " upumbavu? ".
 
Kwani ungemalizia tu kwa Kiswahili nisingejua kuwa na Wewe ni Msomi wa hako Ka degree kako ka " Manzese " alikosema Muro?
Sina degree na siyo kila mtu akiandika kimombo ni msomi.
Mbona unashindwa kuutumia utajiri wako wa akili vizuri kijana.!?!?
Siku hukumu bali nimefanya kukumbusha tu kwamba umefanya vibaya kuanzia kushusha tuhuma zionyeshazo chuki fulani kwa huyo Muro na kudharau wenzio.
 
Unaona, huo ni ujuha
Wewe huwezi kuni lazimisha mimi kuandika kwa lugha gani hata kama nna mix
Mimi magomeni sijui kuna nn kwa hiyo kuwa muwazi unaongelea nini
Mi sina shida
 
Bora Mimi mwenye ujinga vipi kwa Wewe mwenye " upumbavu? ".
Mimi nahisi wewe ni unaandika huku umelewa

Unajihisi uko poa kumbe hamna kitu

Ulichemka na ukichemka tena sku yyte nakwambia tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…