GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #41
huyu jamaa nimemsikiliza leo clouds nimeshindwa kumuelewa kabisa.......shafii anajaribu kumuelekeza na kumtuliza lakini jamaa daah munkari ipo juu anajifanya mjuaji sana hadi kero yaani
Mkuu leo nimejifunza kitu kwa Watanzania na hakika bado tuna safari ndefu kufika tu hata robo tatu ya waliotuzidi akina Kenya, Uganda na Rwanda hasa hasa katika nyanja nzima ya KIFIKRA na kujua KUFIKIRI kama siyo kujenga HOJA.