KATIBU MKUU WA CCM ATOA MAAGIZO WAKATI HUU CHAGUZI NDANI YA CHAMA ZIKIENDELEA.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amewaagiza Makatibu wa Wilaya maeneo yaliyobainika kuwa na kasoro ikiwemo baadhi ya watia nia kunyimwa fomu kwenye uchukuaji fomu ngazi ya shina nchi nzima kurudia zoezi hilo kwa sababu CCM sio Chama cha mtu binafsi bali cha wanachama wote.
Maagizo hayo ameyatoa leo Jumatano tarehe 20 Aprili, 2022 jijini Dar es Salaam alipokuwa kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM ya Wilaya ya Ubungo na Kinondoni.
"Nawaagiza Makatibu wa wilaya, Ubungo na wilaya zote nchini, maeneo yote ambayo tumebaini yana changamoto ya watu kunyimwa kuchukua fomu za kugombea ndani ya chama, tunarudisha zoezi la kutoa fomu, tunataka wale wote wenye dhamira ya kuchukua fomu wachukue bila kuwekewa vizuizi, hiki sio chama cha mtu, hiki sio chama cha maslahi binafsi, hiki chama ni cha wanachama, na ni lazima tutende haki kwa kuwa katiba yetu ya CCM inatutaka tufanye hivo." Katibu Mkuu Ndg. Chongolo ameeleza
Aidha ameoneza kuwa, "Dhamana tulizonazo hazijatupa haki ya kufanya maamuzi kwa ubinafsi, maeneo ambayo tumegundua yana hiyo changamoto napiga marufuku kuwanyima fomu wanachama, naagiza fomu ziendelee kutolewa kwa watu wote, zoezi la uchaguzi lisitishwe, wanachama wote wenye nia wapate haki ya kuchukua fomu na kugombea, kura ndizo zitakazo amua na sio vinginevyo", Katibu Mkuu Ndg. Chongolo amesisitiza
"Tunafuatilia na tukibaini kuna maeneo ambapo vitabu vilivyokuwa vimehakikiwa vimeongezwa majina ya watu wasiokuwemo kwenye utaratibu wa daftari la wanachama, Wakurugenzi /Makatibu wa uchaguzi watawajibika, hili sihitaji kusisitiza sana tutakutana baadae na hili ni kwa ngazi zote." Ameeleza Katibu Mkuu Ndg. Chongolo
Ameyataja baadhi ya maeneo yaliyobainika kuwa na changamoto hiyo kuwa ni pamoja na Wilaya ya Ubungo, Babati, Mbeya, Tabora na kusema ni lazima haki itendeke ndani ya chama kwa wanachama wote bila ubaguzi
Pia Katibu Mkuu amewaasa vijana kuacha kuwa wapambe tu wa wagombea, nao wana haki ya kugombea "Acheni kubaki vijana wa hamasa tu ama wapambe wa wagombea, chukueni fomu gombeeni na mkiona kuna mazingira ya kuwafungia milango, tuambieni haraka sisi tuna funguo za kufungulia."
Aidha Katibu Mkuu ameongeza kwa kuwapa Maelekezo Wenyeviti na Makatibu wa Umoja wa Vijana nchini Kukaa na vijana, kuwahamasisha kugombea na kusisitiza kuwa, hilo ni jukumu na wajibu usio na hiyari.
Kwa nini zisipatikane kwenye website yao? Haya mambo ya kutaka watu wafike ofisini kuchukua na kurudisha fomu yamepitwa na wakati. Wangetumia njia zote mbili ili kurahisisha zoezi.

Aidha Katibu Mkuu ameongeza kwa kuwapa Maelekezo Wenyeviti na Makatibu wa Umoja wa Vijana nchini Kukaa na vijana, kuwahamasisha kugombea na kusisitiza kuwa, hilo ni jukumu na wajibu usio na hiyari. View attachment 2194675
Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022. Siku ya Mwisho ya wajumbe walioomba kugombea nafasi za ccm kata ilikuwa Tare 20.6.2022 saa 10. Cha kushangaza baada ya Jana, Leo tarehe 21.6.2022 katibu wa ccm wilaya ya Hai Mr Ballo , amechukua /...

Katibu mkuu wa CCM Taifa fika Jimbo la Hai huko Kilimanjaro ukakutane na kituko cha mwaka 2022, tena ukizingatia kuwa tangu uteuliwe kuwa Katibu mkuu wa CCM huu ndio uchaguzi wako wa kwanza, nenda Jimbo la Hai ukajifunze somo la uchaguzi wa CCM kutoka kwa Katibu wa CCM wa wilaya ambaye...