View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Aliyeleta hii kitu hana mapenzi hata kidogo na Chadema. Huyu ni mfuasi mzuri wa Chama Tawala.hivi kwanini chadema hupenda sana kumalizia hasira zao za kushindwa kwa zitto? nimeona hii kitu mara nyingi sana
Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji19][emoji57]View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
View attachment 1929653
Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Awe makini,siyo marafiki wazuri wa kujenga nao ushirikiano.Wanakuwaga vigeu geo hao.View attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Umakini wa chadema ni upi?[emoji1787][emoji1787]
Chama makini Cha Upinzani kimebaki CHADEMA tu!
Zitto Kama Ni mpinzani hivi kumbe CCM pure!
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
wachangiaji wengi wanaonyesha hiloAliyeleta hii kitu hana mapenzi hata kidogo na Chadema. Huyu ni mfuasi mzuri wa Chama Tawala.
Amandla...
wachangiaji wengi wanaonyesha hilo
Zito mjanja sana anatafuta huruma tangu seif atangulie mbele ya haki ni kama act kwa huku bara haipo kabisa kwa sasa anategemea wafuasi kule zanzibarView attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Mkuu heshima kubwa kwako.Mnamuamini kweli aliyeleta hizi habari? Zitto alienda kujitambulisha kama Mwenyekiti mpya wa TCD na aliongozana na Mtendaji Mkuu wa TCD. Hakwenda kama kiongozi wa ACT. Na kwa yeyote mwenye uzoefu hamna kikao cha masaa saba nje ya vikao vya utendaji. Huu ni uongo mtupu wenye lengo la kumchafulia Zitto.
Amandla...
π π π π π π πView attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Kikuwa utajuahivi kwanini chadema hupenda sana kumalizia hasira zao za kushindwa kwa zitto? nimeona hii kitu mara nyingi sana
Na hawa wakina mod ni wa mrengo wanchuja sana taarifa za CDM kuliko vyama vingineMkuu heshima kubwa kwako.
JF limegeuka kuwa dampo la kila takataka, hasa hizi za upotoshaji.
Na kwa bahati mbaya zaidi, watu wenye kutumia akili kama ulivyofanya hapa wamekuwa wachache sana, wengi wamebaki kuwa washangiliaji wa Yanga na Simba.
Nakupongeza sana kwa kuliona hili na kulitolea uvivu.
inawezekana zitto ni mamluki aisee ndo maana alifukuzwa cdmView attachment 1929653
Zitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
Acha uongo. Nani anamkumbuka dikteta Magufuli?Kwani na nyie juzi juzi si mlilia kwamba Magufuli hafai na Leo mnajidai eti mnamkumbuka na ni Bora kuliko Mama Samia.
Muacheni Zitto afanye siasa za kistaarabu
Video kama ipo ili tusikie ulichoandikaZitto siku ya leo tarehe 8.09.2021 amefanya mazungumzo na ndugu katibu mkuu wa CCM ndugu Daniel Chongolo kwa niaba ya CCM.
Mazungumzo hayo yaiyodumu kwa zaidi ya masaa 7 yalijadili vitu vingi ikiwemo ushirikiano baina ya vyama vyao. Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini.
Taarifa zaidi inafuata
View attachment 1929653
Huwezi kukubali wewe pingapinga fc."Zitto pia alipongeza ukuaji wa uchumi na demokrasia hapa nchini"
Huyu huyu alielia juzi kufanyiwa rafu Zanzibar mpaka jamaa wa CCM akajitoa au Zitto mwingine?!
Nina wasiwasi na hiyo nukuu hapo juu, inawezekana mleta mada umeikosea, tazama tena rekodi zako.