Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo afanya mazungumzo na Zitto Kabwe

Wa Tanzania wenzangu tuwe tuna soma kwanza.

Zitto alienda kujitambulisha kama Mwenyekiti mpya wa TCD na aliongozana na Mtendaji Mkuu wa TCD.
 
Huo ndiyo ukweli halisi ayatollah Zitto hata humu siku hizi anaingia kusoma tu kwa kuhofia za uso, akitaka kuandika anaingia na ID yake ya act wasaliti ACT Wazalendo
Zitto hatunae tena, na hivi timu kikwete zimeshika hatamu, anapiga tu hela za USALITI.
 
Zitto siku zote anatumika kwa masrahi ya watawala ni ngumu sana kumuamini zitto,
Lakini kwa hili tusimsingizie, anatumikia cheo kipya alichokabidhiwa hivi karibuni
 
Chadema haitokufa leo wala kesho kila aliyejaribu kuiuwa chadema alikufa yeye, ( MEKO)
Kukosa uwakilishi Bungeni ndio kifo chenyewe!!uhai wa chama nini?maandamano?mikutano ya ndani???Mbowe kawekwa ndani kimkakati kupisha uchaguzi ujao na kuua harakati zake za kichama!!!
 
kukosa uwakilishi Bungeni ndio kifo chenyewe!!uhai wa chama nini?maandamano?mikutano ya ndani???Mbowe kawekwa ndani kimkakati kupisha uchaguzi ujao na kuua harakati zake za kichama!!!

Kama hizi ndiyo hesabu mlizopiga basi ccm hamna akili cdm ni tasisi sio mtu
 
Hawa ni mama tofauti lakini baba ni mmoja…wote wanaripoti Msoga!!
 
Ingekuwa hivyo Lissu asingeshambuliwa, Mbowe asingekuwa lupango, Ben Saanane, Azory na Watanzania wengi tu leo hii wangekuwa hai. Siwezi kuwa pamoja na wauaji wanaoichafua nchi ndani na nje ya nchi.

Jamani siasa sio ugomvi wala chuki.
Mwenzako akifanya uadui na chuki wewe mpende.

MaCCM tuwe nawo pamoja na tuwapende wapo baadhi watakao badilika.
 
Naona ukoo wa panya wakishirikia kuendelea kuwavuna watanzania..act wazalendo ni tawi la ccm..kama ilivyo uccm na bakwata..na polic.

Mungu okoa hili taifa dhidi ya unajisi huu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Najaribu kuwaza tu walichokuwa wanajadili humo ndani!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…