Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo afanya mazungumzo na Zitto Kabwe

Ndio kiongozi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania so kaa kwa kutulia
 
Mseto👇🏾

 
Atakuwa amepeleka 'mrejesho wa kazi' ya robo mwaka (July- Dec 2021)
Wapinzani wa kweli wasithubutu kabisa kumwamini huyu mtu, hajawahi kuaminika ktk maisha yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…