Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Labda ndiye ajayePolisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama.
Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa.
Unataka kusema kwamba katibu mkuu wa ATC wazalendo akija hapa atapewa ulinzi kama aliopewa Chongolo leo?Serekali ndiyo nini!?..mbona mikutano ya chadema polisi wengi
Unamkuta ubungo pale kwenye appartment zake . Kavaa kibukta kakaa nje ya geti, anaangalia mafundi. Gari kubwa ila haendeshwi na halindwi. Kuna vituko sana bongo.CCM wakienda uchochoroni kama huko Ifakara wanainua mabega? Chongolo huyu akiwa mjini huwa anatembea kama muuza kuku tu.
Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama.
Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa. Kifupi nimeshangaa katibu mkuu wa ccm kupewa ulinzi na mapokezi kama kiongozi wa serekali. Tufike mahali viongozi wa juu wa ccm waache kujiona kama viongozi wa serekali
Kapewa lisu kwa nini wa act asipewe!?Unataka kusema kwamba katibu mkuu wa ATC wazalendo akija hapa atapewa ulinzi kama aliopewa Chongolo leo?