Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally kuongea na Mabalozi tarehe 15 Oktoba 2020

Mabalozi karibuni Sana Chama Cha kupigiwa mfano Afrika.

Chama kilichoshiriki kuzipatia nchi nyingine za Afrika Uhuru wake.

Hivyo unapozungumza neno UHURU CCM ndiko mahali pake.
Angeenda magu akaongee kisukuma
 
Lakini mbumbumbu bado wamo tu!
Kuna watu sijui ilikuwaje wakazaliwa.
Imagine CCM ilivyowafukarisha Watanzania kwa miaka 60 sasa lakini hawalali usiku kucha kuhakikisha CCM haiondoki madarakani
 
Hawa CCM wana Akili Sana Moves zao zina impact kubwa kwenye kuwaletea Ushindi

Lakini Hata hivyo CCM watashinda No way Hata tufanyaje yani

Najua Mtanitukana hapa[emoji28][emoji28]
Hakika.
EkMRLfPXkAAuZys.jpg
 
Tunakitangaza Kiswahili halafu kuongea na mabalozi anaogopa! Lissu ngoja akaongee nao halafu ITV waonyeshe LIVE.
Huyu aliweka kiswahili iwe kipaombele hata kwenye SADC kwa vile hajui kuongea english ,kuzuga watu ,wasijue akasema kiswahili itumike
 
Dah jamaa kala kona kachikichia mitini Ras simba anatafuna kodi zetu bure tu.
Nyie ndio mliowapokea hao mabalozi?

Wakaongee nao hao wanaokutana nao mara ya kwanza

Tofautisheni Kati ya rais aliye madarakani na anayetetea kiti chake na mgombea urais aliyetumwa na amastadam ambae hajawahi hata kuwa waziri🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kama angeenda yeye ungesikia akimfokea huyo balozi DON'T FOLLOW FOLLOW ME WITHOUT BCOZ YOU CAN'T ME I'M ANOTHER
Watu walioishiwa ndio huokoteza maneno sampuli hiyo. Sisi wazalendo wafia nchi tunajua kuwa Rais Magufuli ametuheshimisha sana watanzania na ametoa mchango mkubwa sana kwenye kuineza lugha ya kiswahili duniani.

Tafuta kujua marais hawa (kwa uchache) wanaongea lugha gani

Hu Jintao
Kim Jong Un
Vladimir Putin
 
Kuna watu sijui ilikuwaje wakazaliwa.
Imagine CCM ilivyowafukarisha Watanzania kwa miaka 60 sasa lakini hawalali usiku kucha kuhakikisha CCM haiondoki madarakani
Ni heri atawale hata lipumba au mama sendiga lkn sio kibaraka,kiujumla ni heli kidogo ninachokipata kuliko kumpa kibaraka nikakosa kabisa na natumai waswahili hamjatujua hiyo tar 28 tutafanya nini.

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Kiukweli huu uchaguzi sio wa kijinga na pia naona kuna moto mkubwa mbeleni. Nakumbuka JPM aliongea na mabalozi mwaka huu na kuwahakikishia uchaguzi huru. KM asiende kuongea uongo kila kitu kipo wazi. Kwenye kikao polepole afukuzwe
Usitupangie
 
Back
Top Bottom